Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Bhasi tumeombs wewe utupe ushahidi unaoweza kujibu hojs yako ila naona blah blah nyingi unatoa..
Siku zote msomi hana blah blah blah zaidi ya kutua authentic Facts..
So umeprove hata wewe ulichokuwa unahoji hukijui
Hajawahi kuwa na facts, ana vimaneno vingi vingi kama wazaramo!

Yeye anakuambia kila mtu ni muislamu hakuna mjadala.
 
Hajawahi kuwa na facts, ana vimaneno vingi vingi kama wazaramo!

Yeye anakuambia kila mtu ni muislamu hakuna mjadala.
Hahahahaha
unajua kama mtu anajua ukweli na facts hakuna haja ya blah blah blah na vijimaneno kama mzalamo,Mmatumbi,mkwere au mndengereko...

Sasa unapewa mda zaidi ya Mara kumi kwamba sawa tuko Wrong basi tuonyeshe wewe uko right kwa ushahidi upi...bado unashindwa...

Kuutetea Uongo huwa ni kazi sana kuliko kuutetea ukweli huitaji nguvu
 
Kilichobaki ni kuvaa mabomuπŸ˜‚
 
Kuna maeneo hua nakubaliana na quran bilashaka

Tunakusanywa kama tuko clinic wakati biblia inatufunza mungu yuko mbinguni na mahali pote ulimwenguni

Nikijisalia nyumbani kunashida gani
Hakuna shida yoyote, muhimu usalipo paji la uso elekezea kibla
 
Sijaona mkanganyiko katika andiko lako; don't read a bible verse in isolation
 
Sasa kama ni jambo ambalo liko wazi maana yake ni rahisi sana kulitolea ushahidi. Maana yake kushindwa kwake ni kuwa hakuna ushahidi.

Mpaka hapa naona jambo hili limekushinda.
Tufanye nimeshindwa.
Hicho unachokiuliza ni sawa na hii,
Watu wote tunajua hapa tunapoishi ni duniani then utake mtu akuthibitishie kwamba tupo duniani. Ni swali lisilo na mantiki kabisa kuuliza jambo ambalo linajulikana na halinaga mjadala.

Na wewe thibitisha kwamba Biblia haikuwepo wakati wa mudi.
 
Mkuu weka maandiko ili um prove wrong.

Kwani kuna shida gani kuweka?
hakuna shida kuweka.wewe umeiona shida??

naweza nikakupa andiko,ikiwa tu unaonyesha una nia ya kufahamu jambo.huyu nia yake sio hiyo,na uzuri amesema kabisa amesoma mpaka shahada ya theolojia.si tu kwamba hataelewa andiko,bali hata likiletwa hataliona maana hakuliona wakati akiwa shule aje alionee hapa.

acha ale spana za reja reja hivi hivi.
 
Ujinga utakuua kiarabu kilikuwa kinaonhelewa na wachache sana mika hiyo uislamu walitengeneza wakatoliki kupinga ukristo
 
Tusubiri alete ushahidi wake. Ikiwa hatakuwa na uthibitisho wa kutokuwepo kwa Biblia atakuwa mtu wa ajabu sana kutaka uthibitisho wa kuwepo kwake.
 
Aya pumzika mkuu.
 
Bhasi tumeombs wewe utupe ushahidi unaoweza kujibu hojs yako ila naona blah blah nyingi unatoa..
Siku zote msomi hana blah blah blah zaidi ya kutua authentic Facts..
So umeprove hata wewe ulichokuwa unahoji hukijui
Ushahidi gani Mimi ambao natakiwa kutoa wakati nimewataia nyinyi mnipe ushahidi unao onyesha ya kuwa hii Biblia yenu ilikuwepo kipindi cha Mtume ?

Kwamba nionyeshe haikuwepo ? Hii akili gani ? Mtume alimkataza swahaba wake kama sio Umar basi Abu Bakr pondi alipo muona ameshika kipande Cha karatasi Cha Taurati. Maana yake Taurati si Biblia na kama ingekuwa ni Biblia basi ingesemwa ni Biblia.
 
Swali si kama hilo, sababu kuhusu Biblia haijulikani kwa watu wote kwamba ilikuwepo kipindi cha Mtume, bali wapo ambao hawaamini kitabu hicho kutokana na kutojulilkana kwa waandishi wake.

Kwahiyo huu mfano hauingii hapa.
 
Swali si kama hilo, sababu kuhusu Biblia haijulikani kwa watu wote kwamba ilikuwepo kipindi cha Mtume, bali wapo ambao hawaamini kitabu hicho kutokana na kutojulilkana kwa waandishi wake.

Kwahiyo huu mfano hauingii hapa.
Kwa jinsi ujuavyo wewe kwa sasa Biblia ipo, unahisi imekuwepo tangu lini.
 
πŸ˜…πŸ˜… Mkuu hujatoa andiko na mliambiwa muenende kwa ushuhuda?
 
Amna Mimi nilisubiri umprove wrong huenda ungeniambia kweli nimsisitize.

Ndio maana nikasema wewe pumzika tu.
basi uache uvivu fatilia post zangu nikimnukuu,yapo mahitaji yako na maandiko unayohitaji.

yeye hakuelewa,natarajia wewe utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…