Shida ipo pale unapotaka kumsingizia Mungu Kwa mambo yaliyofanywa na binadamu wenzakoAfadhali umekuwa mkweli,
unakubaliana nami kwamba mungu si mwenye nguvu zote?
Mkuu karibu bado kuna mikanganyiko mingi ambayo inahitaji ufafanuzi
Nimethibitisha mkuu...Mkuu wewe kama wewe ushawahi kuona, ku experience na kuthibitisha uwepo wa ulimwengu wa giza,wachawi, mapepo na majini?
Au una amini kwenye story za kuambiwa na kusikia sikia?
Huyo atakua allah wa mirembe.Naku uliza hivi [emoji116]
Allah huyo Hakujua kwamba duniani kuna watu wa lugha mbalimbali ashushe Quran hiyo kwa watu wote duniani wa lugha zote?
Kwani Duniani lugha ni kiarabu tu?
Allah huyo, Hakujua kwamba kuna wajerumani, waingereza, waswahili, wafaransa, wafilipino, wahindi n.k
Yani Allah huyo Aumbe watu wa lugha tofauti tofauti kisha ashushe neno lake kwa lugha moja tu?
Hivi huyo Allah ana jielewa kweli?
Hata wewe na nabii yeremia mnaweza kuwa viraza!Shida ipo pale unapotaka kumsingizia Mungu Kwa mambo yaliyofanywa na binadamu wenzako
Umepewa akili Ili uitumie hiyo akili uliyopewa ndio maana wanyama hawataenda kuchomwa moto Kwa sababu hawajapewa akili ya kumjua Mungu
Mbona nabii Yeremia amejua kuwa katika Taurat watu wameongezea maandiko ya uongo
Kwa Nini na wewe usijue inamaana wewe ni kilaza?
Shida ipo pale unapotaka kumsingizia Mungu Kwa mambo yaliyofanywa na binadamu wenzako
Umepewa akili Ili uitumie hiyo akili uliyopewa ndio maana wanyama hawataenda kuchomwa moto Kwa sababu hawajapewa akili ya kumjua Mungu
Mbona nabii Yeremia amejua kuwa katika Taurat watu wameongezea maandiko ya uongo
Kwa Nini na wewe usijue inamaana wewe ni kilaza?
Kwanza Mungu hajawahi kuangamiza watu bila ya kuwapa onyo wakikaidi ndio anawaangamizaHata wewe na nabii yeremia mnaweza kuwa viraza!
Kiumbe chenye kudai kina upendo wote kinaua watu kwa maji kwa dhambi za watu baadhi kinaua vikongwe, watoto wachanga, wamama wajawazito, walemavu
Kiumbe kinachodai kina upendo wote kinaagamiza maelfu kwa moto sodoma na gomora kwa madai ya watu wanatenda dhambi, unajiuliza kwenye hao watenda dhambi kulikuwa Hapana watoto waliozaliwa? Wazee? Walemavu? Vipofu?
Embu tuonyeshe utetezi wako juu ya hilo?
Kwanini wafanye uovu na kwanini kuna uovu? Ilishindikanaje mungu kuumba watu wasiofanya uovu?Kwanza Mungu hajawahi kuangamiza watu bila ya kuwapa onyo wakikaidi ndio anawaangamiza
Pia hao watu wa Nuhu na Sodoma waliongamizwa ni wale tu watu waovu lakini wale watu wema hawakuangamia
Kwanza Mungu hajawahi kuangamiza watu bila ya kuwapa onyo wakikaidi ndio anawaangamiza
Pia hao watu wa Nuhu na Sodoma waliongamizwa ni wale tu watu waovu lakini wale watu wema hawakuangamia
Yaani mkuu bado na mikanganyiko yote hio unatetea mungu hajawahi kuua watu wasiohusika? Nikikuletea mistari akiangamiza watu wasiohusika utaendelea kumtetea?Kwanza Mungu hajawahi kuangamiza watu bila ya kuwapa onyo wakikaidi ndio anawaangamiza
Pia hao watu wa Nuhu na Sodoma waliongamizwa ni wale tu watu waovu lakini wale watu wema hawakuangamia
Nikusibitishie Mungu kama yupoo
Haya Niki kwambia kwamba nimeugua nikapona kwakujiombea nikapona utasema ni psychological relief
Je..kwamtu ambaye yupo kwenye coma state ambaye kaombewa kapona naye utasema ana psychological relief?
Kama hamna binadamu mwenye uwezo wa kumuona Mungu, Aliyesema Mungu yupo alifahamu vipi?Kumbuka Mungu hamna mwanadamu katika hali ya ubinadamu anaye weza kumuonaaa
Alaf pia Unatakiwa kujua kutifautisha kiswahili Cha Biblia na kiswahili Cha kibantuu
PILI
Sijakubali kwamba Biblia ina Contradiction kama ulivyo sema
Kusoma kwenu Biblia mkizitegemea akilizenu wenyewe ndo kuna sababisha kuona kwamba Kuna Contradiction
Tena nyie sio watu wa Kwanza kuona kwamba Biblia ina Contradiction nimesha kutolea mfano wa Yesu
Kilichotokea na wanafunzi wake
TATU
IMANI nimekuandikia ni kua na Hakika.....ni bayana ya mambo yasio onekana
Cja kuelewa una niambia msingi wa Imani ni kutokua na uhakika
Ukitaka dfn soma waebrania 12:1
NNE
Imani na Sayansi nimesha kuandikia ni vitu viwilitofauti
Mtu anaye ingiza DINI kwenye Sayansi hasa matibabu ataishia vibaya
Na hivyo hivyo mtu anaye changanya sayansi ya evidence na DINI hawezi kuelewa chochote
Jua kutifautisha kati ya DINI na Imani
Maana nakuona Bado unachanganya sayansi na IMANI
TANO
Kuponywa na Mungu Kuna depends na many factors kama sio mtu wa DINI huwezi kuelewa utaishia kubisha vitu usivyo jua tuuuu
Namaswali kama haya yanasibitisha ni kiasigani Biblia hujui kabisaaa
Miongoni mwa factors ni kiwango chaimani ya mtuuu binafsi
Kw mfano mtu Kama ww ukiombewa huwezi kuponaa ng'oooo
SITA
Ett una ulizaa
Mungu anatafutwa kwani hanekani?
Nimecheka sannaaa Yann ina onesha jinsi gani Biblia huijuiiii....
Unajua kumtafuta Mungu kwa Tochiii Auuu[emoji1][emoji1]
We bado sanaaa kwenye bible hujui ata jinsi ya kumtafuta Mungu alaf una sema Mungu. Hayupo
Yan mfano mtu hajui kufanya swali la Logarithms yupo darasa la saba alaf anakwambi swali Hilo halifanyikii
Mtakesha apooo
Sina maana kwamba weee ni darasa la saba mfanoo tuuuu rafiki
Mfano mwengine
Waislam Wana sema ss tuna kufuru tunaposema yesu ni mwana wa Mungu
Wana dai Mungu hazai
Wakati ss tunaposema mwana wa Mungu hatuu maanishi Mungu anapata Mimba na ana zaa
##SHIDA KUBWA WEWE HUJUI KUTOFAUTISHA MISAMIATI YA KIBIBLIA NA KUIWEKA KATIKA MAAANA ##
Anaposema kutafuta katika bible hamaanishi mtu kapoteaaa
Jua Kwanza MISAMIATI ya KIBIBLIA vizur friend
Jiulize kwann Kuna makanisa mengi kwasababu watu wenginhawajui kuisoma Biblia....
Me sio mtumiaji mzoefu Sana ndomana nimeshindwa kuweka picha zaaswali.yako
Natumaini umeelewa It
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizo ni personal attack, jadili hoja.Shibe inayopatikana kwa shida sanaaaa au kwa wepesi sanaaaa, au njaa kali sanaa au shibe inayokosa kazi huleta matokeo kama haya tunayoyaona kwa mleta mada.
Aidha ulikua umevimbiwa
Au njaa imekukamata vya kutosha
Au michongo yako imekwama sana
Au michongo yako ni rahis sana
NDIO MAANA UKAANDIKA KITU KAMA HIKI
Hadi anajadiliwa inamanisha anamkanganyiko. Kilicho perfect hakijadiliwi.Sijauona huo mkanganyiko unaousema, mtu umeamka unapumua na umeshiba vizuri unaanza kumjadili Mungu
Siyo matendo Yao, Ila matendo waliyopangiwa ya uovuAWACHOME MOTO SABABU YA MATENDO YAO MAOVU.