Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Unajua tatizo la nyie vijana mnatumia akili za macho kwenye maswala ya kiroho ,mpo kimwili kwenye vitu ambavyo miili yenu ndio mnasisi inauwezo wa ku question ukuu wa Mungu ,Mungu ni neno ukishajua maaana ya hii huna haja ya kutumia mwili kuujua ukuu wa neno ,naona wengi humu mna uchanga wa mambo ya kiroho ndio maana mnabishana
 
Afadhali umekuwa mkweli,
unakubaliana nami kwamba mungu si mwenye nguvu zote?

Mkuu karibu bado kuna mikanganyiko mingi ambayo inahitaji ufafanuzi
Shida ipo pale unapotaka kumsingizia Mungu Kwa mambo yaliyofanywa na binadamu wenzako

Umepewa akili Ili uitumie hiyo akili uliyopewa ndio maana wanyama hawataenda kuchomwa moto Kwa sababu hawajapewa akili ya kumjua Mungu

Mbona nabii Yeremia amejua kuwa katika Taurat watu wameongezea maandiko ya uongo

Kwa Nini na wewe usijue inamaana wewe ni kilaza?
 
Naku uliza hivi [emoji116]

Allah huyo Hakujua kwamba duniani kuna watu wa lugha mbalimbali ashushe Quran hiyo kwa watu wote duniani wa lugha zote?

Kwani Duniani lugha ni kiarabu tu?

Allah huyo, Hakujua kwamba kuna wajerumani, waingereza, waswahili, wafaransa, wafilipino, wahindi n.k

Yani Allah huyo Aumbe watu wa lugha tofauti tofauti kisha ashushe neno lake kwa lugha moja tu?

Hivi huyo Allah ana jielewa kweli?
Huyo atakua allah wa mirembe.
 
Shida ipo pale unapotaka kumsingizia Mungu Kwa mambo yaliyofanywa na binadamu wenzako

Umepewa akili Ili uitumie hiyo akili uliyopewa ndio maana wanyama hawataenda kuchomwa moto Kwa sababu hawajapewa akili ya kumjua Mungu

Mbona nabii Yeremia amejua kuwa katika Taurat watu wameongezea maandiko ya uongo

Kwa Nini na wewe usijue inamaana wewe ni kilaza?
Hata wewe na nabii yeremia mnaweza kuwa viraza!

Kiumbe chenye kudai kina upendo wote kinaua watu kwa maji kwa dhambi za watu baadhi kinaua vikongwe, watoto wachanga, wamama wajawazito, walemavu

Kiumbe kinachodai kina upendo wote kinaagamiza maelfu kwa moto sodoma na gomora kwa madai ya watu wanatenda dhambi, unajiuliza kwenye hao watenda dhambi kulikuwa Hapana watoto waliozaliwa? Wazee? Walemavu? Vipofu?

Embu tuonyeshe utetezi wako juu ya hilo?
 
Kutoka 32:27 BHN​

Akawaambia, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, anasema hivi: ‘Kila mtu na ajifunge upanga wake kiunoni, azunguke kila mahali kambini, kutoka lango moja hadi lingine, na kila mmoja amuue ndugu yake, rafiki yake na jirani yake.’”

2 Wafalme 19:35 BHND​

Basi, usiku huo malaika wa Mwenyezi-Mungu aliingia kambini mwa Waashuru na kuwaua watu laki moja. Kulipopambazuka watu wakaamka, hao wote walionekana wakiwa maiti.
 
Nikusibitishie Mungu kama yupoo

Haya Niki kwambia kwamba nimeugua nikapona kwakujiombea nikapona utasema ni psychological relief
Je..kwamtu ambaye yupo kwenye coma state ambaye kaombewa kapona naye utasema ana psychological relief?

Kumbuka Mungu hamna mwanadamu katika hali ya ubinadamu anaye weza kumuonaaa

Alaf pia Unatakiwa kujua kutifautisha kiswahili Cha Biblia na kiswahili Cha kibantuu

PILI

Sijakubali kwamba Biblia ina Contradiction kama ulivyo sema
Kusoma kwenu Biblia mkizitegemea akilizenu wenyewe ndo kuna sababisha kuona kwamba Kuna Contradiction

Tena nyie sio watu wa Kwanza kuona kwamba Biblia ina Contradiction nimesha kutolea mfano wa Yesu
Kilichotokea na wanafunzi wake

TATU
IMANI nimekuandikia ni kua na Hakika.....ni bayana ya mambo yasio onekana

Cja kuelewa una niambia msingi wa Imani ni kutokua na uhakika

Ukitaka dfn soma waebrania 12:1

NNE

Imani na Sayansi nimesha kuandikia ni vitu viwilitofauti

Mtu anaye ingiza DINI kwenye Sayansi hasa matibabu ataishia vibaya

Na hivyo hivyo mtu anaye changanya sayansi ya evidence na DINI hawezi kuelewa chochote

Jua kutifautisha kati ya DINI na Imani
Maana nakuona Bado unachanganya sayansi na IMANI

TANO
Kuponywa na Mungu Kuna depends na many factors kama sio mtu wa DINI huwezi kuelewa utaishia kubisha vitu usivyo jua tuuuu

Namaswali kama haya yanasibitisha ni kiasigani Biblia hujui kabisaaa

Miongoni mwa factors ni kiwango chaimani ya mtuuu binafsi

Kw mfano mtu Kama ww ukiombewa huwezi kuponaa ng'oooo

SITA

Ett una ulizaa

Mungu anatafutwa kwani hanekani?

Nimecheka sannaaa Yann ina onesha jinsi gani Biblia huijuiiii....
Unajua kumtafuta Mungu kwa Tochiii Auuu[emoji1][emoji1]

We bado sanaaa kwenye bible hujui ata jinsi ya kumtafuta Mungu alaf una sema Mungu. Hayupo

Yan mfano mtu hajui kufanya swali la Logarithms yupo darasa la saba alaf anakwambi swali Hilo halifanyikii
Mtakesha apooo

Sina maana kwamba weee ni darasa la saba mfanoo tuuuu rafiki

Mfano mwengine

Waislam Wana sema ss tuna kufuru tunaposema yesu ni mwana wa Mungu
Wana dai Mungu hazai

Wakati ss tunaposema mwana wa Mungu hatuu maanishi Mungu anapata Mimba na ana zaa

##SHIDA KUBWA WEWE HUJUI KUTOFAUTISHA MISAMIATI YA KIBIBLIA NA KUIWEKA KATIKA MAAANA ##

Anaposema kutafuta katika bible hamaanishi mtu kapoteaaa

Jua Kwanza MISAMIATI ya KIBIBLIA vizur friend

Jiulize kwann Kuna makanisa mengi kwasababu watu wenginhawajui kuisoma Biblia....

Me sio mtumiaji mzoefu Sana ndomana nimeshindwa kuweka picha zaaswali.yako
Natumaini umeelewa It

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Naona unaanzisha wimbo kwa 'wrong tune'. Kwanza, wanaosema kwenye Biblia kuna mikanganyiko ni akina nani? Pili, je mikanganyiko ni proof kwamba kitu fulani hakipo? Mfano, ikitokea ajali ikaripotiwa na watu watatu kwa muda tofauti na sehemu tofauti, je hiyo habari haitakuwa na mkanganyiko? Je, kama ina 'mkanganyiko' ndiyo kusema ajali haikutokea? Nikupe mfano: "Ajali ya gari imetokea Kijiji A na kuua watu 10 na kujeruhi wengine 20". Kuna waandishi wa habari watatu. Mwandishi X aliyefika sehemu ya tukio anaripoti hivi: "Ajali imetokea Kijiji A na kuua watu 11 na kujeruhi wengine 19." Mwandishi Y anaripoti hivi: "Ajali imetokea Kijijii A na kuua watu 15 na majeruhi 15 wamelazwa". Huyu mwandishi hakwenda sehemu ya tukio, bali alienda hospitali na kisha akaenda mochwari kuona miili iliyohifadhiwa. Mwandishi Z anaripoti hivi: "Ajali imetokea na kuua watu 10 na kujeruhi wengine 20". Huyu mwandishi hakuwepo sehemu ya tukio, hakwenda hospitali na wala mochwari, bali alienda polisi na kuambiwa na polisi kuhusu ajali iliyotokea. Maswali: Je, habari hii ina mkanganyiko? Je, ajali hii imetokea? Je, je idadi ya majeruhi na waliofariki kwa jinsi ilivyoripotiwa, waandishi waliripoti idadi sahihi au walipika habari? Hebu jaribu kusoma vizuri na ujibu hayo maswali, halafu tutarudi kwenye hoja yako.
 
[emoji706][emoji41]
0e418900d12edbb99bacc9e72f00493f.jpg
 
[emoji41][emoji706]Save The Planet

Saidia WaTz
2fae7d9a9fadf8f3855c19021ed872c4.jpg
 
[emoji706][emoji41][emoji867][emoji90]
c1f4683e4e57f33b29f517761fa10c74.jpg
 
Hata wewe na nabii yeremia mnaweza kuwa viraza!

Kiumbe chenye kudai kina upendo wote kinaua watu kwa maji kwa dhambi za watu baadhi kinaua vikongwe, watoto wachanga, wamama wajawazito, walemavu

Kiumbe kinachodai kina upendo wote kinaagamiza maelfu kwa moto sodoma na gomora kwa madai ya watu wanatenda dhambi, unajiuliza kwenye hao watenda dhambi kulikuwa Hapana watoto waliozaliwa? Wazee? Walemavu? Vipofu?

Embu tuonyeshe utetezi wako juu ya hilo?
Kwanza Mungu hajawahi kuangamiza watu bila ya kuwapa onyo wakikaidi ndio anawaangamiza

Pia hao watu wa Nuhu na Sodoma waliongamizwa ni wale tu watu waovu lakini wale watu wema hawakuangamia
 
Kwanini wafanye uovu na kwanini kuna uovu? Ilishindikanaje mungu kuumba watu wasiofanya uovu?
 
Kwanza Mungu hajawahi kuangamiza watu bila ya kuwapa onyo wakikaidi ndio anawaangamiza

Pia hao watu wa Nuhu na Sodoma waliongamizwa ni wale tu watu waovu lakini wale watu wema hawakuangamia

Ezekieli 14:9 BHN​

Na ikiwa nabii huyo atadanganyika akasema kitu, basi mimi Mwenyezi-Mungu nimempotosha. Nami nitanyosha mkono wangu kumwondoa nabii huyo kutoka kwa watu wangu wa Israeli.

Kumbukumbu la torati 18:20-22
Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
 
Kwanza Mungu hajawahi kuangamiza watu bila ya kuwapa onyo wakikaidi ndio anawaangamiza

Pia hao watu wa Nuhu na Sodoma waliongamizwa ni wale tu watu waovu lakini wale watu wema hawakuangamia
Yaani mkuu bado na mikanganyiko yote hio unatetea mungu hajawahi kuua watu wasiohusika? Nikikuletea mistari akiangamiza watu wasiohusika utaendelea kumtetea?
 
Nikusibitishie Mungu kama yupoo

Haya Niki kwambia kwamba nimeugua nikapona kwakujiombea nikapona utasema ni psychological relief
Je..kwamtu ambaye yupo kwenye coma state ambaye kaombewa kapona naye utasema ana psychological relief?

Kumbuka Mungu hamna mwanadamu katika hali ya ubinadamu anaye weza kumuonaaa
Kama hamna binadamu mwenye uwezo wa kumuona Mungu, Aliyesema Mungu yupo alifahamu vipi?

Alimuona wapi huyo Mungu?
Alaf pia Unatakiwa kujua kutifautisha kiswahili Cha Biblia na kiswahili Cha kibantuu

PILI

Sijakubali kwamba Biblia ina Contradiction kama ulivyo sema
Kusoma kwenu Biblia mkizitegemea akilizenu wenyewe ndo kuna sababisha kuona kwamba Kuna Contradiction

Tena nyie sio watu wa Kwanza kuona kwamba Biblia ina Contradiction nimesha kutolea mfano wa Yesu
Kilichotokea na wanafunzi wake

TATU
IMANI nimekuandikia ni kua na Hakika.....ni bayana ya mambo yasio onekana

Cja kuelewa una niambia msingi wa Imani ni kutokua na uhakika

Ukitaka dfn soma waebrania 12:1

NNE

Imani na Sayansi nimesha kuandikia ni vitu viwilitofauti

Mtu anaye ingiza DINI kwenye Sayansi hasa matibabu ataishia vibaya

Na hivyo hivyo mtu anaye changanya sayansi ya evidence na DINI hawezi kuelewa chochote

Jua kutifautisha kati ya DINI na Imani
Maana nakuona Bado unachanganya sayansi na IMANI

TANO
Kuponywa na Mungu Kuna depends na many factors kama sio mtu wa DINI huwezi kuelewa utaishia kubisha vitu usivyo jua tuuuu

Namaswali kama haya yanasibitisha ni kiasigani Biblia hujui kabisaaa

Miongoni mwa factors ni kiwango chaimani ya mtuuu binafsi

Kw mfano mtu Kama ww ukiombewa huwezi kuponaa ng'oooo

SITA

Ett una ulizaa

Mungu anatafutwa kwani hanekani?

Nimecheka sannaaa Yann ina onesha jinsi gani Biblia huijuiiii....
Unajua kumtafuta Mungu kwa Tochiii Auuu[emoji1][emoji1]

We bado sanaaa kwenye bible hujui ata jinsi ya kumtafuta Mungu alaf una sema Mungu. Hayupo

Yan mfano mtu hajui kufanya swali la Logarithms yupo darasa la saba alaf anakwambi swali Hilo halifanyikii
Mtakesha apooo

Sina maana kwamba weee ni darasa la saba mfanoo tuuuu rafiki

Mfano mwengine

Waislam Wana sema ss tuna kufuru tunaposema yesu ni mwana wa Mungu
Wana dai Mungu hazai

Wakati ss tunaposema mwana wa Mungu hatuu maanishi Mungu anapata Mimba na ana zaa

##SHIDA KUBWA WEWE HUJUI KUTOFAUTISHA MISAMIATI YA KIBIBLIA NA KUIWEKA KATIKA MAAANA ##

Anaposema kutafuta katika bible hamaanishi mtu kapoteaaa

Jua Kwanza MISAMIATI ya KIBIBLIA vizur friend

Jiulize kwann Kuna makanisa mengi kwasababu watu wenginhawajui kuisoma Biblia....

Me sio mtumiaji mzoefu Sana ndomana nimeshindwa kuweka picha zaaswali.yako
Natumaini umeelewa It

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Shibe inayopatikana kwa shida sanaaaa au kwa wepesi sanaaaa, au njaa kali sanaa au shibe inayokosa kazi huleta matokeo kama haya tunayoyaona kwa mleta mada.

Aidha ulikua umevimbiwa
Au njaa imekukamata vya kutosha
Au michongo yako imekwama sana
Au michongo yako ni rahis sana

NDIO MAANA UKAANDIKA KITU KAMA HIKI
Hizo ni personal attack, jadili hoja.
 
Msio amini uwepo wa Mungu mnajichagulia njia ya "KIPUMBAVU SANA" ... Haya fanya Mungu hayuko, inakuongezea nini au kukupunguzia nini zaidi ya KUJIFANYA MJUAJI SANA ( unasoma biblia ili utafute makosa)
Naita njia ya kipumbavu kwa sababu moja tuu . Ikitokea mimi ninae Muamini Mungu nikifa nikienda niendako nikikuta uwepo wake ni poa tuu . Na nikienda nikakuta hamna uwepo wake ni poa tuu SIKOSI CHOCHOTE .. ila wewe umejichagulia chaguo moja tuu lisilo na ulazima kulichagua zaidi ya kujifanya mjuaji ...haya umekufa ukae kumkuta UTAJITETEA AJE [emoji1787][emoji1787][emoji1787] jibu utakua nalo wewe .

ILA YOTE KWA YOTE NYIE MSIO MUAMINI MUNGU, MUNGU NDIE ANAE WAPENDA ZAIDI ...
 
Back
Top Bottom