kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
- Thread starter
-
- #1,001
Nilikuwa na kidem saint Agnec pale jimbon karibu na kwiro boys,,,,! Enzi hizo, kdg kaache shule ety tempo imeisha kanataka tuondoke wote [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2]!Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!
Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]
Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!
Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]
Umenikumbusha Mbali sana aiseee!!! Kipindi hiko niko kabichiiiii ndiokwanza nimemaliza olevo nilienda kumsalimia sista angu alikua anafanya kazi hapo NMB bank ile ya stand pale aisehh mahenge nilinenepaga balaaa!Hahah long long memory best !!!!!!
Mlima unaitwa ndororo!
Kipindi nilimaliza six, nilipata tempo flani huko,,,, ! Dah! Maisha ya kule achaaa !!!!!! Naikumbuka mitaa ya mahenge , nawenge,,, uponera n.k!
Mabus ya huko kipnd hicho Ni Moro best ,,, alsaedy na kidinilo ndo zinaingia ingia !!! [emoji2][emoji2][emoji1]!
Samaki wa motooo na ndz kivukoni pale,,,, Bei maandazi kabisa [emoji2][emoji1][emoji2]
Hahahaaa... sasa mimi nilipata best kutoka kasita seminary nae alikua na kiboy kwiro! kwahio binti wakiruhusiwa out kidogo anajifanya anakuja kunisalimiaie rafiki yake huku wale wa kwiro nao wanakuja make kwiro walikua huru sana! So makutano ilikua kwa sista hapo huku sister nae kaenda kwa Mume wake Moro town basi ilikua vurugumechi!!ππ!Nilikuwa na kidem saint Agnec pale jimbon karibu na kwiro boys,,,,! Enzi hizo, kdg kaache shule ety tempo imeisha kanataka tuondoke wote [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2]!
Tulikuwa tunaonana siku za j2 kanisan kanatoroka, sista wa zam alikuwa anawalinda balaa [emoji2][emoji1][emoji2]
Best Ungefungwa wewe lol ulimdatisha denti wawatu! πππ Hako ka Dem kalikua hakaitwi Mage kweiπ?? Nilikua na best mwingine alikua anaitwa Magreth ye alikua anadoma st Agnes sema yeye alikua mtoto wa askari kwao walikua wanakaa kotas za maaskari ukute ni huyoππππ!!!πNilikuwa na kidem saint Agnec pale jimbon karibu na kwiro boys,,,,! Enzi hizo, kdg kaache shule ety tempo imeisha kanataka tuondoke wote [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2]!
Tulikuwa tunaonana siku za j2 kanisan kanatoroka, sista wa zam alikuwa anawalinda balaa [emoji2][emoji1][emoji2]
Eti eeBila shaka Carrasco putin mtoto aliepanga kodge kabisa keshatia vimbweka vyake humu [emoji3]
Hahahaaa..Dogo haishagi vituko yule!Eti ee
Duhhhhhhh!!Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Ulilala ?Hivi pale ulanga mjini wameshapatanua??? Padogo pamebanana sana kaeneo kadogooo hapohapooo ndio halmashauri ukigeuka gerezaa mara sijui ofisi za nini mara maduka ya wafanyabiashara doh!!
Sipati picha wachimba madini !!! Na jinsi ulivyo na Shep [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41]Umenikumbusha Mbali sana aiseee!!! Kipindi hiko niko kabichiiiii ndiokwanza nimemaliza olevo nilienda kumsalimia sista angu alikua anafanya kazi hapo NMB bank ile ya stand pale aisehh mahenge nilinenepaga balaaa!
Wachimba madini walikua wananitoleaje mimacho [emoji39][emoji39][emoji39] mi ndiokwanzaaa hata sikuwa nahili wala lile kuhusu mambo ya kikubwa[emoji16]!
Dah long memory dear,! Thanks a lot!Hahahaaa... sasa mimi nilipata best kutoka kasita seminary nae alikua na kiboy kwiro! kwahio binti wakiruhusiwa out kidogo anajifanya anakuja kunisalimiaie rafiki yake huku wale wa kwiro nao wanakuja make kwiro walikua huru sana! So makutano ilikua kwa sista hapo huku sister nae kaenda kwa Mume wake Moro town basi ilikua vurugumechi!![emoji16][emoji16]!
Ujanaa jamani kushikana shikana mikono kukumbatiwa ile kwa woga mpaka muda wao wa Kurudi shule unafika lol!
Weee best wengi wao wameunguaa!! Wanazuzua watu na pesa zao πππ!!Sipati picha wachimba madini !!! Na jinsi ulivyo na Shep [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41]
Ndio mapenzi ya kishuleshule enzi hizooik sio Vijana wa sikuhizi πππ!!Dah long memory dear,! Thanks a lot!
Kasita seminary, shule ya regina mund VP ? Nlikuwa na kadem pale , mnaishia kuongea na kuchati tuuu hakuna kupata mtelezo, walikuwa wanabanwa balaaaa ,[emoji2][emoji1]
Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mlipata usingizi kweli??Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Kweli hii ndo TanzaniaJuzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Na wewe ukaamsha nae asubuh[emoji3][emoji3]Dah kuna gesti nililala Masumbwe mbele kidogo ya kahama hazina cilling board alafu kuta fupi jamaa chumba cha pili aliopoa limdada lina makalio alafujamaa kama njiti mungu sikulala jamaa alikuwa anapiga mzigo dada analia kwanguvu mpaka mashine inasimama niliteseka sana.Alisababisha nimtamani huyo dada asubuhi