Mikasa/vituko vya lodge

Ikawaje mkuu,,,,ulimuungia auu
 
Hapa mliupalamia mtumbwi
 
Hahaha!!
 
Huko kuna machimbo na hizo ndo lodge zao[emoji23][emoji23].... sema kuna pisi za kisandawe acha kabisa wana mikia sana
 

Me niliajiriwa kama ticha Nawenge aisee nilifanya kazi mwaka mmoja nikaahangaika uhamisho ukahoma nikaacha kazi

Ila nakumbuka mitaa ile kitimoto bei chee aisee [emoji23] nilikuwa na kadem nesi nilikuwa natiana nako popote mpk migombani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitimoto Bei poa sana huko, kule sokon karibu na ule uwanja Kuna vibanda vimefatana wanauza ,,,,,

Nawenge sec, naikumbuka, kule maisha magumu mzunguko wa hela mdogo sana !

Kuna ukumbi unitwa UDEKO unaukumbuka, ndo kiwanja chao maarufu enzi hizo madisko karbia kila weekend! kuna katempo nilikuwa nafanya pale halmashauri, sasa siku nikakutana night disko na madam mfanyakaz wa hapo halmashauri mkubwa kwangu kimtindo nikaenda kula mzigo gizan gizan huko [emoji2][emoji1]

Mda Sana sijawahi kwenda huko kabla hata hawajaweka daraja pale kivukoni
 
Tena bora hata mashuka na mataulo wengi wanajitahidi kufua ila mabranketi mteja akitoka linaanikwa tu juani ili jasho likauke na ile harufu ipungue then linakunjwa na kurudishwa kitandani
Bor umenikumbusha trip yangu ya Njombe, mieenda ile wilaya inapakana na Nyasa sjui ni Ludewa skumbuki vizuri. Nimefika njombe mjini late nikaulizia nawezaje kufika huko wakaniambia gari ya mwisho ndo inaondoka hivyo wahi. Mwanaume fasta nikadaka mchuma tumesafiri barabara mbovu then inapita milimani hadi tunafika ni saa sita alafu hata stand yenyewe haieleweki.

Nikamchukua boda tukaanza kutafta hotel au lodge, zote zikawa zimejaa plus wengine hakutaka kufungua mlango kutusikiliza. Baada ya mzunguko sana tukapata lodge. Ile napanda kitandani naskia harufu kari kuangalia vizuri ni blanket alafu kulikuwa na baridi hatari, ikabidi nilitoe nje bado net nayo ikawa inatema.

Loooh niliomba kukuche haraka, na ilibidi nipige mishe zangu fasta na zingine kulazimisha ile nitoke kule
 
Sasa hivi una lami kuanzia chini tatizo pembamba sana kupishana na gari kubwa mtihani...kimtindo haswa wkt wa kupanda unaitwa mlima Ndololo.
 
Hivi pale ulanga mjini wameshapatanua??? Padogo pamebanana sana kaeneo kadogooo hapohapooo ndio halmashauri ukigeuka gerezaa mara sijui ofisi za nini mara maduka ya wafanyabiashara doh!!
Pako vilevile...
 
We umesoma wapi ifakara girls au st. Agness [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…