BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Ni wapi huko mkuu? [emoji2]Duhhhhhhh!!
hilo jina " London" limenikumbusha sehemu fulani hivi hahaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi huko mkuu? [emoji2]Duhhhhhhh!!
hilo jina " London" limenikumbusha sehemu fulani hivi hahaa!
Sanaa, ni huko kwenye uchimbaji wa dhahabu.Khaaaaaa[emoji16]
Ni maporini sana?
Nilivyopata kimasihara nililala vizuri kabisa, nadhani sababu ya uchovu. [emoji16][emoji16]
Tz kubwa sana mkuu!Kweli hii ndo Tanzania
Ikawaje mkuu,,,,ulimuungia auuDah kuna gesti nililala Masumbwe mbele kidogo ya kahama hazina cilling board alafu kuta fupi jamaa chumba cha pili aliopoa limdada lina makalio alafujamaa kama njiti mungu sikulala jamaa alikuwa anapiga mzigo dada analia kwanguvu mpaka mashine inasimama niliteseka sana.Alisababisha nimtamani huyo dada asubuhi
Hapa mliupalamia mtumbwiJuzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Hahaha!!Katika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]
nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.
Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,
Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.
nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni
Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
Huko kuna machimbo na hizo ndo lodge zao[emoji23][emoji23].... sema kuna pisi za kisandawe acha kabisa wana mikia sanaJuzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Acha mikia kitu chuchu konzi[emoji39]Huko kuna machimbo na hizo ndo lodge zao[emoji23][emoji23].... sema kuna pisi za kisandawe acha kabisa wana mikia sana
Lile kabila wanawake wao wanabalaa aseee[emoji23]Acha mikia kitu chuchu konzi[emoji39]
Hahah long long memory best !!!!!!
Mlima unaitwa ndororo!
Kipindi nilimaliza six, nilipata tempo flani huko,,,, ! Dah! Maisha ya kule achaaa !!!!!! Naikumbuka mitaa ya mahenge , nawenge,,, uponera n.k!
Mabus ya huko kipnd hicho Ni Moro best ,,, alsaedy na kidinilo ndo zinaingia ingia !!! [emoji2][emoji2][emoji1]!
Samaki wa motooo na ndz kivukoni pale,,,, Bei maandazi kabisa [emoji2][emoji1][emoji2]
Kitimoto Bei poa sana huko, kule sokon karibu na ule uwanja Kuna vibanda vimefatana wanauza ,,,,,Me niliajiriwa kama ticha Nawenge aisee nilifanya kazi mwaka mmoja nikaahangaika uhamisho ukahoma nikaacha kazi
Ila nakumbuka mitaa ile kitimoto bei chee aisee [emoji23] nilikuwa na kadem nesi nilikuwa natiana nako popote mpk migombani [emoji23][emoji23][emoji23]
Leta hadithi hiyooBila kuvaa dela la yule binti ningefia lodge ngoja nitakuja kueleza vizur
Bor umenikumbusha trip yangu ya Njombe, mieenda ile wilaya inapakana na Nyasa sjui ni Ludewa skumbuki vizuri. Nimefika njombe mjini late nikaulizia nawezaje kufika huko wakaniambia gari ya mwisho ndo inaondoka hivyo wahi. Mwanaume fasta nikadaka mchuma tumesafiri barabara mbovu then inapita milimani hadi tunafika ni saa sita alafu hata stand yenyewe haieleweki.Tena bora hata mashuka na mataulo wengi wanajitahidi kufua ila mabranketi mteja akitoka linaanikwa tu juani ili jasho likauke na ile harufu ipungue then linakunjwa na kurudishwa kitandani
Tena wa vibwengu. [emoji3][emoji3][emoji3]Hapa mliupalamia mtumbwi
Exactly chief bila shaka unapajua..... mie kuna moja ikanielewa yenyewe ikanitunuku kimasihara. [emoji1][emoji1][emoji1]Huko kuna machimbo na hizo ndo lodge zao[emoji23][emoji23].... sema kuna pisi za kisandawe acha kabisa wana mikia sana
Sasa hivi una lami kuanzia chini tatizo pembamba sana kupishana na gari kubwa mtihani...kimtindo haswa wkt wa kupanda unaitwa mlima Ndololo.Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!
Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]
Pako vilevile...Hivi pale ulanga mjini wameshapatanua??? Padogo pamebanana sana kaeneo kadogooo hapohapooo ndio halmashauri ukigeuka gerezaa mara sijui ofisi za nini mara maduka ya wafanyabiashara doh!!
We umesoma wapi ifakara girls au st. Agness [emoji2]Hivi ile njia ya kwenda ulanga ule mlima walishaurekebishaga???? lol Moro best kitambo sana mahenge ile milima milima na mawe tu[emoji119][emoji119]! Nimekumbuka samaki na ndizi za pale kilombero kivukoni kumbe sikuhizi ndio mnaita darajani duhh kitambo sana!
Pindi nimemaliza four huku nasubiria majibu nipo mahenge nilikuaga na kiboy kilikua six kwiro boys lol![emoji16][emoji16]