Mikasa/vituko vya lodge

Igunga wanapenda sana kukagua. Kwa mara ya kwanza kulala Igunga January 2020 walikuja kunikagua. Sikuwa na dem but walikomaa wakiamini na demu mpaka wakaingia ndani wakakuta hakuna kitu. Wakaomba kitambulisho nikawapa cha kazi hapo hapo wakaanza kuniita Boss.
 
[emoji1787][emoji1787]TUKISEMA SINGIDA NI KAMA SOMALIA
 
Umenikumbusha Mtera pale. Nilienda kufanya issue flani pale nililala ki guesthouse kidogo kama hicho japo kile kilikuwa kizuri kidogo ukilinganisha na hiki cha kwako.
Kimasihara kama kawa nilikamatia mgogo mmoja hivi.
 
Umenikumbusha Mtera pale. Nilienda kufanya issue flani pale nililala ki guesthouse kidogo kama hicho japo kile kilikuwa kizuri kidogo ukilinganisha na hiki cha kwako.
Kimasihara kama kawa nilikamatia mgogo mmoja hivi.
Haina kuremba mkuu, ukapata na la kuchangia kwa rikiboy
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kwenda huko Londoni...nlilala hapo hapo ulipolala...ilifika saa 8 usiku Fisi kaanza kulia kwa Dirishani nlipolala! Asee asbh nlisepa chaap bila kuaga[emoji2772]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kwenda huko Londoni...nlilala hapo hapo ulipolala...asee ilifika saa 8 usiku Fisi kaanza kulia kwa Dirishani nlipolala! Asee asbh nlisepa chaap bila kuaga[emoji2772]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kule chui na Simba ni kawaida tu mkuu, bora Fisi.
 
Huu uzi naupenda Sana ni mwendo wa kupeana makavu laivu,tokea mwanzo ilianzaga habari ya boda vs walimu, ikaja ya kushobokea mademu kwenye uzi,ikaja ya makulumilla Arusha hahahahaha,,,_______
 
ningelala kwenye gari tu. Chumba kama kaburi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Miaka ya 2000 nikiwa zangu Morogoro, nilienda kulala kigest flani kipo ndani ndani mtaa wa mafisa. Nakumbuka hiyo siku nipo na bi mdada ndani askari wanapita kukagua maana kuna uharifu ulitokeaga, huku na kule kilichokuja kunisaidia niliandika taarifa za ukweli. Walioandika taarifa za uongo na ambao hawajaandika kabisa walisombwa na kutembezwa mtaani mchana kweupe ilikuwa noma sana.
 
Polisi konyo[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…