Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Unajidanganya...Utastaajabu hata muuaji kabla ya kuua huomba Mungu.
Mungu hukupitisha katika mitihani hata ikiwa si mcha Mungu ili kukusogeza karibu zaidi na yeye. Huwez juwa labda baada ya kutoka salama matendo yangu pia yaliongoka na kuacha zinaa.
Linapokuja swala kuomba Mungu hilo daima huwa ni la Mola na kiumbe chake, maana hata Mungu alisema ni yeye pekee anaemjua zaidi mbora baina yetu. Hivyo sheikh/askofu hukumu tumuachie maulana.
[emoji23][emoji23][emoji23] naijua nshapiga sana watoto wa vikindu pale. Ipo uswahilini ila ni gesti nzuri saaaana na bei zake zipo fair.Kuna gesti mbagala wanavyo vitanda hivi, ni kama umelala kwenye karo ya kuoshea vyombo.
Ukijisigeza sana unakula zege la kiuno au ugoko.gesti nzuri ila vitasa vyake vimetekenywa kishenzi.Abiria chunga begi lako.[emoji23][emoji23][emoji23] naijua nshapiga sana watoto wa vikindu pale. Ipo uswahilini ila ni gesti nzuri saaaana na bei zake zipo fair.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kila aliyepita alikuw anaona obvious kwa tukio lile lazima mpita njia aogope mana anawaza hili jitu humu ndani linaweza kuwa limerukwa na akili [emoji1787]
Tatizo viwanja vidogo, usimamizi mbovu utakuta wamfaidisha Mama GhetoHuu uzi unafikirisha Sana...
Huduma ya lodge na hotel standard..ni shida karibu Tanzania nzima...ajabu watu wanatapeliwa pesa kwenye update...mtu anapeleka milioni 200 kwenye upatu wakati angeweza Jenga lodge nzuri sehemu akawa na uhakika WA hela nzuri kila mwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.
Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.
Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.
Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Baada ya basi la baraka kustaff safari zakeHahah long long memory best !!!!!!
Mlima unaitwa ndororo!
Kipindi nilimaliza six, nilipata tempo flani huko,,,, ! Dah! Maisha ya kule achaaa !!!!!! Naikumbuka mitaa ya mahenge , nawenge,,, uponera n.k!
Mabus ya huko kipnd hicho Ni Moro best ,,, alsaedy na kidinilo ndo zinaingia ingia !!! [emoji2][emoji2][emoji1]!
Samaki wa motooo na ndz kivukoni pale,,,, Bei maandazi kabisa [emoji2][emoji1][emoji2]
[emoji23][emoji23] zege la ugokoUkijisigeza sana unakula zege la kiuno au ugoko.gesti nzuri ila vitasa vyake vimetekenywa kishenzi.Abiria chunga begi lako.
Suala la usafi vyooni nafikiri watanzania tu baadhi sio wastaarab na waungwana we fikiria mtu mzima anaacha uchafu wake ukielea kwenye shimo sa sijui anamkomoa nani aya jaribu kutembelea vyoo vya umma mtu anajisaidia juujuu na anaacha hivyohivyo au anatumia makaratasi/tishu then anatupia tu juujuu wakiwekewa maji bomba wanaharibu pumbavu zao asee nachukiana sana.Kingine huu uzi nimeufananisha na maoni ya watumiaji hotel za Tz ...wageni na watanzania kwenye mtandao wa booking.com...
Very very interesting...kule utaona hotel zina majina makubwa lakini zinapondwa Kwa huduma mbovu ...
Kero ni nyingi Sana ..
Natamani wenye lodge wangepita humu na wachangiaji wangezitaja hotel na lodge Kwa majina......
Kuna lodge unakuta kila kitu Safi lakini feni Lina kelele ..ama ukubali kelele au joto ...zingine ..toilet usafi sio standard..
Zingine .. makelele nje ya lodge
Pindi unataka kushuka si kuna fumbati katika vitanda vya mbao sasa kisia ugoko utue zegeni.
Sasa hiyo Sheria ya mikojo, na sisi wapenda katerero inakuwaje!?No 5[emoji378]View attachment 2458942
HahahNafika Dar usiku mida ya saa 5 mbezi stend ya magufuli. nachukua boda anipeleke lodge isiwe mbali sana. ananipeleka lodge (sikumbuki vzuri nadhani ni hotel) iko upande wa juu wa round about ya kwenda Goba. Jina naliweka kapuni ila wazoefu mtakuwa mmeshapata. Kesho yake ndo nakuja kuambiwa kuwa madereva wengi wa mabasi hufikia hapo. Kosa moja ya hiyo hotel ni kwamba juu ya mlango wameweka wavu badala ya vioo. huo ndo ujinga wa karne na sitakaa nije kulala hapo. nikachukua rum juu ghorofani kwa bei ya 20k. sema kuna vingine vya 30k. Ille nimeingia room, nikawa nasikia kuna mdada anaongea na sim kwa bashasha sana chumba cha opposite na mimi. Kwa mujibu wa maongezi yao alikuwa anaongea na shosti yake tu. Kumbe muda huo jamaa alikuwa bado hajafika. Mida kama ya saa 6 usiku ndo jamaa anafika. shughuli ilianza kila kinachoendelea nakisikia.
Niliteseka sana usiku ule yule binti ni mdogo umri wake kwa makadirio kati ya miaka 18 na 22 hivi, kamodo kweli (nilikuja kumuona kesho yake). Yule jamaa nadhani atakuwa alipaka vumbi la kongo aisee. siyo kwa makelele yale shughuli kama masaa mawili hivi walikuja kutulia saa 8 usiku. mtoto alilia mayowe yote unayoyajua, na matusi yote unayoyajua duniani, alafu jamaa alizibua na mtaroni pia. alafu jamaa akiongea ni ile kumtukana mwanamke na kumkejeli tuu. mwanamke yeye ndo kila kitu anaongea, kila hatua wanayofanya anaropoka. alafu wakibadili style mwanamke anatamka kabisa. mara anasema baba Jane utaniua sasa, baba Jane taratibu. Hapo jamaa ndo anaongeza kasi. Uvumilivu ulinishinda ikabidi nijihudumie kwa usiku ule sikuwa na namna japo nilijutia sana kumasturbate ukizingatia nilikuwa sijapata huduma muda mrefu kiasi.
Asubuhi waliamsha popo saa 10 alfaji hadi 11 wakalala. Saa 3 wakaenda kunywa supu sasa wakati wanarudi ndo tunakutana nao kwenye korido wanarudi. Walipoingia wakaamsha tena popo jamani yale ni mateso. Muda huu ndo jamaa alipiga sana mtaroni maana mwanamke alivyokuwa anaropoka. hadi akawa anaita mama yake, oooh mama nakufa mama yangu popote ulipo nisamehe sitarudia. Baba Jane unanifira ooo nakufa mama.. Aisee nikaona huu ujinga na inaonakena hawana dalili ya kutoka nilitoka saa 4 kwenda kutafuta lodge nyingine.
50,000 tuSasa hiyo Sheria ya mikojo, na sisi wapenda katerero inakuwaje!?