Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Unajidanganya...Utastaajabu hata muuaji kabla ya kuua huomba Mungu.
Mungu hukupitisha katika mitihani hata ikiwa si mcha Mungu ili kukusogeza karibu zaidi na yeye. Huwez juwa labda baada ya kutoka salama matendo yangu pia yaliongoka na kuacha zinaa.
Linapokuja swala kuomba Mungu hilo daima huwa ni la Mola na kiumbe chake, maana hata Mungu alisema ni yeye pekee anaemjua zaidi mbora baina yetu. Hivyo sheikh/askofu hukumu tumuachie maulana.