Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,382
- 1,881
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaisha tu, ila Mimi napambana na watu wa kwenye ukoo wa mzee na mivurugano ya familia yetuJitahidi ushinde.
Nashukuru nimejitahidi kushinda mitego ya mabinamu.
Hao watu Mungu anawaona tu walivyojua kunitega na walivyo warembo🤣
Hata akizaa uwezekano wa genetic errors ni mkubwa sana.shangazi=mama
baba=mjomba
duh! mpaka kichwa kinauma unazaa na dada yako na huyo tonio asipo kuwa makini watoto wake nao watapeana mimba.
Salama Sophy? Umemisika!!😀😀Malizia story kwanza@Eroni ametekwa January hii wajanja wamembeba😀
Pole yake huyo binti, I can't imagine unamlalaje dada wa damu aisse!Ni kisa cha kweli mkuu.
Inasikitisha sana aisee ila kunabaadhi ya ndugu inatokea Kwa kutokujua km ni nduguyakoMmh, mtu na dadake wakatafunana, hii mnaita laanakum sio? Story nzuri mkuu!
Salama wew ndo kuonekani umeniacha nakula dagaa tu January hii umefichwa😂😂Salama Sophy? Umemisika!!
Kuna mtu aliwahi kusema, kama umezaliwa na ndugu yako bila kujua kuwa ni ndugu, siku mkikutana ni rahisi kuvutiwa nae kimapenzi. Sina uhakika kama ni kweli, ila mtu "ukighafilika" ni vizuri watoto wajuane mapema.Inasikitisha sana aisee ila kunabaadhi ya ndugu inatokea Kwa kutokujua km ni nduguyako
🤣🤣🤣nawe umeanza lini ukorofi!Salama wew ndo kuonekani umeniacha nakula dagaa tu January hii umefichwa😂😂
Kwakweli hizi siku mbili amalizie huko tuonane jumatatu 😀Vumilie shemu j3 bro atapokea mshahara😂
Ni watu ninaowafahamu kabisaa mkuuChai..