Mikataba ya $300 ya kuwa Housegirl Uarabuni haina tija kwa nchi

Small minds discuss small things and small money.
Uwezo wa kufikiri umekomea $300.
 
Serikali inatia aibu wakati mwingine.

Imejikita kuwasaidia madada wa Tanzania kuwa housegirls huko Uarabuni badala ya kuwasaidia diaspora ambao wanafanya kazi za maana na wenye uwezo wa kusaidia nchi kama sheria zikiwekwa sawa. Hatutaweza kuendelea kwa $300 kwa mwezi!

Na unyanyasaji na ubaguzi kwa ndugu zetu huko uarabuni badala yake tusaidie wasomi na wafanyabiashara wetu.

Nchi nyingine wanapeleka Manesi na wanalipwa $70,00-$100,000 kwa mwaka na madaktari wanaingiza zaidi ya $100,000 kwa mwaka na wasomi wengine mmablimbali mfano India inapeleka kwa mikataba wataalamu wa computer engineering. Sisi tunaenda ku sign mikataba ya mahaouse girl kwa $300 kwa mwezi? Kwanini kama ni marafiki zetu wasichukuwe wataalamu wengine?

Wito ni kwa serikali kuweka sheria rafiki kwa diaspora ili waweze kuchangia kama diaspora wengine mfano Kenya badala ya kujishusha na kutegemea wafanyakazi wa ndani!
300$ nyingi sana hata wangeambiwa waende bure ile kwenda tu wangeshangilia. Watanzania wengi ni washamba, kuanzia raia, wabunge, mawaziri mpaka Gigy money. In short this this is zombie-republic.

Hebu imagine mpaka leo eti tunapambana na idadi ya matundu ya vyoo shuleni hapo utasikia "mama kaupiga mwingi" na anaesifia matundu kuongezwa ni waziri, yani karne ya 21 hatuwazi mambo wengine kwetu matundu ya choo ni achievement na hapo wataandaa warsha ya mabillion kumpongeza gigy money just imagine. Kwanini wasishangilie kwenda kuwa wafagizi Arabuni.
 
Serikali mngejuwa wanayofanyiwa hawa dada zetu na waarabu,,

Basi msingeingia mkataba wa kitumwa kama huo wa Saudi Arabia..

Kwa kifupi,

Mwanamke wa kiafrika akifika huko anakuwa ni mtumwa wa ngono kwa wanaume wa karibu,
Mbaya Zaidi wanaingiliwa bila ridhaa yao.

Nasikitika Sana..

Kwann hamthamini utu wa mwafrika?

Kama kwl.mnataka kusaidia watanzania basi chukueni vijana wa kiume,,
Zipo fursa nyingi sn kwa vijana wa kiume kuliko kuleta wasichana na kugeuzwa watumwa wa ngono.

Mkipuuza hili,,,mtakuja kukumbuka hii comment wakati ishakuwa majuto kwa mabinti na dada zetu.

Inchi Salama ya kupeleka wasichana Ni Dubai au Qatar na sio Saudi Arabia wala Oman.
 
Serikali inatia aibu wakati mwingine.

Imejikita kuwasaidia madada wa Tanzania kuwa housegirls huko Uarabuni badala ya kuwasaidia diaspora ambao wanafanya kazi za maana na wenye uwezo wa kusaidia nchi kama sheria zikiwekwa sawa. Hatutaweza kuendelea kwa $300 kwa mwezi!

Na unyanyasaji na ubaguzi kwa ndugu zetu huko uarabuni badala yake tusaidie wasomi na wafanyabiashara wetu.

Nchi nyingine wanapeleka Manesi na wanalipwa $70,00-$100,000 kwa mwaka na madaktari wanaingiza zaidi ya $100,000 kwa mwaka na wasomi wengine mmablimbali mfano India inapeleka kwa mikataba wataalamu wa computer engineering. Sisi tunaenda ku sign mikataba ya mahaouse girl kwa $300 kwa mwezi? Kwanini kama ni marafiki zetu wasichukuwe wataalamu wengine?

Wito ni kwa serikali kuweka sheria rafiki kwa diaspora ili waweze kuchangia kama diaspora wengine mfano Kenya badala ya kujishusha na kutegemea wafanyakazi wa ndani!
Mmeshindwa kuwaajiri ndio maana wanatafuta kazi huko hata baada ya kusikia hatari na manynyaso wanayoweza kuyapata.
Kama ambavyo viongozi hawako pale kutafuta tija ya raia hata hao wala hawaendi huko kutafuta tija ya nchi bali yao wenyewe na familia zao.
Madaktari wenu hapo kenya tu waliwakataa na nyie humu wengi wanasa hawawaamini sasa nani awatake huko
 
Serikali inatia aibu wakati mwingine.

Imejikita kuwasaidia madada wa Tanzania kuwa housegirls huko Uarabuni badala ya kuwasaidia diaspora ambao wanafanya kazi za maana na wenye uwezo wa kusaidia nchi kama sheria zikiwekwa sawa. Hatutaweza kuendelea kwa $300 kwa mwezi!

Na unyanyasaji na ubaguzi kwa ndugu zetu huko uarabuni badala yake tusaidie wasomi na wafanyabiashara wetu.

Nchi nyingine wanapeleka Manesi na wanalipwa $70,00-$100,000 kwa mwaka na madaktari wanaingiza zaidi ya $100,000 kwa mwaka na wasomi wengine mmablimbali mfano India inapeleka kwa mikataba wataalamu wa computer engineering. Sisi tunaenda ku sign mikataba ya mahaouse girl kwa $300 kwa mwezi? Kwanini kama ni marafiki zetu wasichukuwe wataalamu wengine?

Wito ni kwa serikali kuweka sheria rafiki kwa diaspora ili waweze kuchangia kama diaspora wengine mfano Kenya badala ya kujishusha na kutegemea wafanyakazi wa ndani!
fungua wewe kampuni yako wape ajila how kina dada
 
Serikali mngejuwa wanayofanyiwa hawa dada zetu na waarabu,,

Basi msingeingia mkataba wa kitumwa kama huo wa Saudi Arabia..

Kwa kifupi,

Mwanamke wa kiafrika akifika huko anakuwa ni mtumwa wa ngono kwa wanaume wa karibu,
Mbaya Zaidi wanaingiliwa bila ridhaa yao.

Nasikitika Sana..

Kwann hamthamini utu wa mwafrika?

Kama kwl.mnataka kusaidia watanzania basi chukueni vijana wa kiume,,
Zipo fursa nyingi sn kwa vijana wa kiume kuliko kuleta wasichana na kugeuzwa watumwa wa ngono.

Mkipuuza hili,,,mtakuja kukumbuka hii comment wakati ishakuwa majuto kwa mabinti na dada zetu.

Inchi Salama ya kupeleka wasichana Ni Dubai au Qatar na sio Saudi Arabia wala Oman.
 
Serikali inatia aibu wakati mwingine.

Imejikita kuwasaidia madada wa Tanzania kuwa housegirls huko Uarabuni badala ya kuwasaidia diaspora ambao wanafanya kazi za maana na wenye uwezo wa kusaidia nchi kama sheria zikiwekwa sawa. Hatutaweza kuendelea kwa $300 kwa mwezi!

Na unyanyasaji na ubaguzi kwa ndugu zetu huko uarabuni badala yake tusaidie wasomi na wafanyabiashara wetu.

Nchi nyingine wanapeleka Manesi na wanalipwa $70,00-$100,000 kwa mwaka na madaktari wanaingiza zaidi ya $100,000 kwa mwaka na wasomi wengine mmablimbali mfano India inapeleka kwa mikataba wataalamu wa computer engineering. Sisi tunaenda ku sign mikataba ya mahaouse girl kwa $300 kwa mwezi? Kwanini kama ni marafiki zetu wasichukuwe wataalamu wengine?

Wito ni kwa serikali kuweka sheria rafiki kwa diaspora ili waweze kuchangia kama diaspora wengine mfano Kenya badala ya kujishusha na kutegemea wafanyakazi wa ndani!
UWANJA WA FISI UPO SAUDIA ?
 
Serikali mngejuwa wanayofanyiwa hawa dada zetu na waarabu,,

Basi msingeingia mkataba wa kitumwa kama huo wa Saudi Arabia..

Kwa kifupi,

Mwanamke wa kiafrika akifika huko anakuwa ni mtumwa wa ngono kwa wanaume wa karibu,
Mbaya Zaidi wanaingiliwa bila ridhaa yao.

Nasikitika Sana..

Kwann hamthamini utu wa mwafrika?

Kama kwl.mnataka kusaidia watanzania basi chukueni vijana wa kiume,,
Zipo fursa nyingi sn kwa vijana wa kiume kuliko kuleta wasichana na kugeuzwa watumwa wa ngono.

Mkipuuza hili,,,mtakuja kukumbuka hii comment wakati ishakuwa majuto kwa mabinti na dada zetu.

Inchi Salama ya kupeleka wasichana Ni Dubai au Qatar na sio Saudi Arabia wala Oman.
MADANGURU YAPO DAR VIPI HAPO ?
 
sio uarabuni tu, hata ulaya watanzania wanafanya kazi za ovyo ovyo kubeba maboksi, kuogesha vibibi vya kizungu, kuosha barsbara, kufanya usafi migahawani n.k. kupata kazi proffessional nje ni ngumu
Unamjua dr Frank minja? Kasoma harvard na yupo us, hospital kubwa tu ni mfano mmoja tu, wapo wengi wana kazi nzuri na wengne ni masharif wa HLS Na kz nyingne kubwa kubwa .
 
🤣🤣🤣 Kwahiyo saivi tumekubaliana bongo shule nooh
Wote tukaoshe vyombo uarabuni
Sawa
Kazi iendelee😂😂😂😂
Acha ufala wewe, shule no kivipi? Aliyemaliza muhas aende huko kwenye kazi unazosema wewe
 
Tunatakiwa kuwasaidia watu wenye elimu na maarifa na kuwapa wengine wasio na elimu. Badala ya kumpeleka housegirl kwa $300 kwa mwezi ni bora wampeleke bure shule kwa miaka 3 halafu aende huko nje na kuingiza &3000 mara kumi zaidi!. Sababu mojawapo ya unyanyasaji ni elimu duni sasa kuwapeleka watu wasio na elimu nje ni kama utumwa
Kwani anaetaka kusoma analipishwa nini sasa hivi?
 
Ingekua kwa wazungu walau mmh hawa wengine kigugumizi kidogo mie siwaelewi
Kwani umekatazwa kwenda kuwa hausigeli wa wazungu?

Ikiwa waarabu upo nao mpaka uswazi huwajui, hao wazungu ndiyo unawajuwa?
 
Back
Top Bottom