Mikataba ya $300 ya kuwa Housegirl Uarabuni haina tija kwa nchi

Nani hapa Tanzania asiyewataka waarabu? Matajiri wote wakubwa Tanzania hii ni wahindi na waarabu!
 
Dah!Kwa hiyo mkuu unasema kwamba kunakuogesha vibibi vya kizungu na Papuchi zao unasafi kabisa!?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
unakuta mtu ana elezea kitu kiushabiki experience nacho hana afadhali umemwambia ukweli Uarabuni panachafuliwa sana sababu tu ya Uislam lakini hutasikia wakiongelea wanaokwenda Marekani na Wingereza wengine wanalala chini ya madaraja.
 
Wale wale waliokuwa wanauza watumwa sasa wanawachukua kwa kuwaloipa mishahara kweli ccm baba lao
 
sio uarabuni tu, hata ulaya watanzania wanafanya kazi za ovyo ovyo kubeba maboksi, kuogesha vibibi vya kizungu, kuosha barsbara, kufanya usafi migahawani n.k. kupata kazi proffessional nje ni ngumu
Yaani wakupe wewe mbongo professional jobs waache wananchi wao
Ulaya qna nchi nyingine unemployment rate iko juu pia.
 
Nani hapa Tanzania asiyewataka waarabu? Matajiri wote wakubwa Tanzania hii ni wahindi na waarabu!
Nafkiri hii ndio inayosababisha chuki kwa waswahili. Kwa nini mwarabu ana hela kumshinda yeye.
Kweli hasidi hana sababu
 
Ni bora kwenda ughaibuni kupiga kazi kuliko kubaki bongo na kujifanya mmepinda, ila nawaasa

washenzi ni wengi huko msisahau kulinda marinda. . .
 
...
 

Attachments

  • Screenshot_20231116_154230_WhatsApp.jpg
    153.5 KB · Views: 5
Malinda kutatuliwa inahusika iwe kwa matajiri au maskini, walioenda huko wametujuza
 
Yaani wakupe wewe mbongo professional jobs waache wananchi wao
Ulaya qna nchi nyingine unemployment rate iko juu pia.


USA mfano unemployment ni chini ya 4% hiyo ndiyo juu! USA wanalipa kwa kila saa la kazi na hakuna mtu analipwa $300 kwa mwezi!. Sasa hao matajiri umaosema wa Saudi kwanini wanalipa $300 kwa mwezi na kwanini nchi nyingine wakienda Saudi wanaenda kwa kazi za maana!
 
Viongozi wetu ni waoga sana wakiona tunataka kufanikiwa kwa maana tukifanikiwa itakua ngumu kututawala.

Ndio maana kazi nzuri zote wanawapa watoto na ndugu zao.

Sisi ndio kama hivi wanatutafutia uyaya.
Na shule za kata wamejengewa (sisi) Hakuna mtoto wa kiongozi anyesoma shule za kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…