Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani chini ya utawala unaomalizia muda wake wa Donald Trump hapo juzi uliitembelea Israel na kuwaunga mkono katika ajenda zao zilizo dhidi ya wapalestina na matakwa ya jumuiya za kimataifa.
Mwanzoni alitembelea makazi ya kiyahudi ndani ya ardhi ya Palestina na kusema kuanzia sasa Marekani haisemi tena kuwa makazi ya waisrael kwenye ardhi walizoziteka na kujenga makazi kuwa ni kinyume na kanuni na maazimio ya kimataifa.
Akaendelea kusema kuwa bidhaa zinazozalishwa maeneo hayo kuanzia sasa zinaweza kuandikwa kuwa zimetengenezwa Israel basi bila kutaja eneo la wapalestina zilipozalishwa kama hapo awali.
Baada ya ziara hiyo Mike Pompeo akaenda mpaka milima ya Golan ambayo Israel iilteka kutoka Syria na muda wote huo Syria imeendelea kuidai irudi mikononi mwake.
Pompeo akiwa anaangalia upande wa pili wa bonde alitangaza kuwa huwezi ukasimama hapa na ukaangalia upande wa pili halafu ukanushe kile alichokifanya raisi Trump.Eneo hili ni sehemu na kiini cha Israel.