Mike Pompeo afanya ziara ya hasira Israel, atoa ya moyoni

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani chini ya utawala unaomalizia muda wake wa Donald Trump hapo juzi uliitembelea Israel na kuwaunga mkono katika ajenda zao zilizo dhidi ya wapalestina na matakwa ya jumuiya za kimataifa.

Mwanzoni alitembelea makazi ya kiyahudi ndani ya ardhi ya Palestina na kusema kuanzia sasa Marekani haisemi tena kuwa makazi ya waisrael kwenye ardhi walizoziteka na kujenga makazi kuwa ni kinyume na kanuni na maazimio ya kimataifa.

Akaendelea kusema kuwa bidhaa zinazozalishwa maeneo hayo kuanzia sasa zinaweza kuandikwa kuwa zimetengenezwa Israel basi bila kutaja eneo la wapalestina zilipozalishwa kama hapo awali.

Baada ya ziara hiyo Mike Pompeo akaenda mpaka milima ya Golan ambayo Israel iilteka kutoka Syria na muda wote huo Syria imeendelea kuidai irudi mikononi mwake.

Pompeo akiwa anaangalia upande wa pili wa bonde alitangaza kuwa huwezi ukasimama hapa na ukaangalia upande wa pili halafu ukanushe kile alichokifanya raisi Trump.Eneo hili ni sehemu na kiini cha Israel.
 
Trump alihamishia US Embassy Jerusalem; je, Biden ataurudhisha Tel Aviv in favor of the Palestinians? Linapokuja suala la Israel, Republicans na Democrats lao moja!
Uko sawa kabisa.Trump na Pompeo kama kwamba wanawahi kupata sifa ya kuwa ndio waliotekeleza ajenda ya siri yenye anuwani ya Makazi ya waisrael Palestina na ardhi ya Golan ya Syria. Biden hatorudi nyuma na atatekeleza ajenda nyengine zilizojificha ndani ya utawala wa Marekani.Historia nayo inamtaja Joe Biden kuwa mkereketwa mkubwa wa Israel kuliko hata Trump.
Yote hayo yanatoa picha kuwa Palestina isiyo na mtetezi hata miongoni mwa ndugu zake kuwa itakuwa imekwisha.Kwa upande wa nguvu zisizo na kikomo za Mwenyezi Mungu na mipango isiyong'amulikaya mbele ya wanaadamu Palestina itakuja kuibuka mshindi na kushinda njama zote za binadamu.
 
Hawana mtetezi kivipi?
Huujui usemi wa mtegemea cha nduguye hufa masikini?

Hao ndugu zao genetically ni waarabu wenzao na sio wewe mtu mweusi.
 
Uko sawa kabisa.Trump na Pompeo kama kwamba wanawahi kupata sifa ya kuwa ndio waliotekeleza ajenda ya siri yenye anuwani ya Makazi ya waisrael Palestina na ardhi ya Golan ya Syria. Biden hatorudi nyuma na atatekeleza ajenda nyengine zilizojificha ndani ya utawala wa Marekani.Historia nayo inamtaja Joe Biden kuwa mkereketwa mkubwa wa Israel kuliko hata Trump.
Yote hayo yanatoa picha kuwa Palestina isiyo na mtetezi hata miongoni mwa ndugu zake kuwa itakuwa imekwisha.Kwa upande wa nguvu zisizo na kikomo za Mwenyezi Mungu na mipango isiyong'amulikaya mbele ya wanaadamu Palestina itakuja kuibuka mshindi na kushinda njama zote za binadamu.
Huyo mungu wenu angekuwa na nguvu si angewasaidia wapalestina tangu zaman[emoji522][emoji521][emoji3][emoji41][emoji534][emoji526][emoji523][emoji1647][emoji1648][emoji1649]
 
Mjanja sana pompeo ni ile kauli ya Mungu mwenyewe Mungu wa kweli ukimbariki miusraeli utabarikkwa ukimlaani utalaaniwa.

Aisee chalii zangu upande wa pili siyo mimi jamani ni Mungu mwenyewe alitamka kutoka kinywani mwake
Duh sijui hizi akili Waafrika tutazitoa lini...
 
Huyo mungu wenu angekuwa na nguvu si angewasaidia wapalestina tangu zaman[emoji522][emoji521][emoji3][emoji41][emoji534][emoji526][emoji523][emoji1647][emoji1648][emoji1649]
Mlungu wetu ndiye Mungu wako na Mungu wa viumbe vyote.Utendaji wake hauendi kwa haraka za kibinadamu wala hahofii wakati wala kuonea haya watu na hadhulumu kiumbe chake na daima hampi nguvu za kudumu dhalimu mwenye kudhulumu viumbe vyake.
Kama una matukio ya kihistoria unafuatilia hebu toa mifano ambapo yule aliyejifanya mbabe alidumu na ubabe wake na akaondoka duniani bado akiogopwa na watu.Naamini hutopata na itakuthibitikia kuwa Mwenyezi Mungu ni wa milele na hampi kichwa kiumbe wake mpaka akaogopwa kama Yeye.
 
Mungu hawezi tamka huo ufala wewe, bangi hazikufai
Hahaha 😂 😂

Mungu ni illusion tu .. Hakuna mungu
Ndio maana mapadree mashekhe a wanasiasa wanaojua Hiyo siri wanafanya maovu kama kawa cuz wanajua ukweli halisi Kuwa hakuna cha pepo wala moto
 
Hata Quran inatambua kabisa kuwa Israeli yuko kwenye ardhi waliyopewa na Mwenyezi Mungu,Q5:20-21
Ndiyo kusema Wapalestina hawana chao pale!
 
Kama wamechanganyikiwa hivi..

Mr President Biden deal with them accordingly
 
Duh sijui hizi akili Waafrika tutazitoa lini...
Jamaaa kavumisha alivyoandika alisema kwa kinywa chake. Ila ni maandiko yamesema hivyo ndo maana hiyo Israel haisemagwi vibaya aisee hata makampuni ya muisrael hayapigwa Vita hovyohovyo. Hata huyo Biden hawezi kubadili aliyo yaweka Trump hiyo inchi ni ndogo kuiangalia kwa macho ramanu lakini in reality watu wake wamefanya dunia imekua hivi leo
 
Mkuu sikua najua Kama una uelewa mdogo namna hii[emoji3][emoji3]
 
Trump na pompeo wanamfanya mungu aonekane muongo,
Last time mfalme wa iran,king cyrus alipowatoa waisrael utumwani na kuwarudisha jerusalem na kuwapa fedha za kujenga upya mji wa jerusalem,mungu alimpya mfalme Cyrus cheo cha masiha,
This time arround,Trump alijiita masiha baada ya kukubali jerusalem iwe mji mkuu wa israel,
Mungu wa wayahudi aliwahi kusema,"nitamlaani atakaeilaani israel,nitambariki,atakaeibariki israel,"
Badala ya trump kubarikiwa,amepata mkosi wa kuukosa urais.
Unabii umeshindwa kutimia..
 
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani chini ya utawala unaomalizia muda wake wa Donald Trump hapo juzi uliitembelea Israel na kuwaunga mkono katika ajenda zao zilizo dhidi ya wapalestina na matakwa ya jumuiya za kimataifa.

Mwanzoni alitembelea makazi ya kiyahudi ndani ya ardhi ya Palestina na kusema kuanzia sasa Marekani haisemi tena kuwa makazi ya waisrael kwenye ardhi walizoziteka na kujenga makazi kuwa ni kinyume na kanuni na maazimio ya kimataifa.

Akaendelea kusema kuwa bidhaa zinazozalishwa maeneo hayo kuanzia sasa zinaweza kuandikwa kuwa zimetengenezwa Israel basi bila kutaja eneo la wapalestina zilipozalishwa kama hapo awali.

Baada ya ziara hiyo Mike Pompeo akaenda mpaka milima ya Golan ambayo Israel iilteka kutoka Syria na muda wote huo Syria imeendelea kuidai irudi mikononi mwake.

Pompeo akiwa anaangalia upande wa pili wa bonde alitangaza kuwa huwezi ukasimama hapa na ukaangalia upande wa pili halafu ukanushe kile alichokifanya raisi Trump.Eneo hili ni sehemu na kiini cha Israel.
Wapalestina wamatumiwa sana kwa maslahi ya wengine hasa viongozi wao ambao wamewafanya mtaji, hakuna namna ya wao kufanikisha agenda yao, ni bora wakubaliane kufuata mipaka iliyo kwenye ramani za mwanzo kabisa ambayo mataifa mengi wanaridhia na wawafanye Israel and western country kuwa washirika wataendelea na kupata amani, Wajue wafandhili wao walikua wanategemea mafuta na ndani ya miaka 20 ijayo bidhaa hii huenda itakua haina samani sana kwenye dunia kwani matumizi yanapungua na nchi nyingi zinagundua mafuta, hivyo wafandhili wako kwenye mihangaiko ya kuandaa namna ya kuendesha nchi zao.
 
Trump na pompeo wanamfanya mungu aonekane muongo,
Last time mfalme wa iran,king cyrus alipowatoa waisrael utumwani na kuwarudisha jerusalem na kuwapa fedha za kujenga upya mji wa jerusalem,mungu alimpya mfalme Cyrus cheo cha masiha,
This time arround,Trump alijiita masiha baada ya kukubali jerusalem iwe mji mkuu wa israel,
Mungu wa wayahudi aliwahi kusema,"nitamlaani atakaeilaani israel,nitambariki,atakaeibariki israel,"
Badala ya trump kubarikiwa,amepata mkosi wa kuukosa urais.
Unabii umeshindwa kutimia..
Mungu aliyetuumba hajawahi kuacha kutimiza ahadi zake, hachelewi wala hawahi, kama aliahidi hakika atatimiza.
 
Back
Top Bottom