Mike Pompeo wa USA amaliza ziara yake barani Afrika, akemea viongozi wa vyama vya siasa wanaoongoza kiimla

Mike Pompeo wa USA amaliza ziara yake barani Afrika, akemea viongozi wa vyama vya siasa wanaoongoza kiimla

Yadumu mawazo ya mwenyekiti

Sent using Jamii Forums mobile app
Africa haiwezi kuendelea yaani mawazo ya mtu mmoja eti ndo yajenge nchi,wenzetu mawazo ya wote ndio ujenga nchi zao.Africa mtawala ni zaidi ya mungu ashauriwi sababu anajua kila kitu ana akili kuliko wote, kumkosoa kumshauri adhabu yako ni kuzawadiwa risasi,kubambikwa kesi za ugaidi,uhujumu uchumi, uhaini,utakatishaji,nk.Halafu eti tunawasingizia wazungu awataki tuendelee,Mara sijui ukoloni mambo Leo,mara sijui mashirika ya kimataifa nk utadhani hayapo nchi zingine zilizoendelea, haya mawazo yameingizwa na watawala miaka mingi vichwani mwa waafrika ili kukwepa makosa yao ndio chanzo cha ufukara wetu
 
Alivyoona “viongozi wa kisiasa”, yeye akaja kutuongopea kuwa viongozi wa kisiasa ni wale wa vyama vya siasa...Nadhani ana lengo lake la ku spin habari yenyewe iendane na propaganda zake.
😂😂😂 Ni vizuri wengi wameliona hili.
 
Back
Top Bottom