jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Nilimjibu hivyo kwasababu alikuwa akitoa reference kuhusiana na statement ama hotuba hiyo ya Pompeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimjibu hivyo kwasababu alikuwa akitoa reference kuhusiana na statement ama hotuba hiyo ya Pompeo.
Ni kweliNilimjibu hivyo kwasababu alikuwa akitoa reference kuhusiana na statement ama hotuba hiyo ya Pompeo.
Africa haiwezi kuendelea yaani mawazo ya mtu mmoja eti ndo yajenge nchi,wenzetu mawazo ya wote ndio ujenga nchi zao.Africa mtawala ni zaidi ya mungu ashauriwi sababu anajua kila kitu ana akili kuliko wote, kumkosoa kumshauri adhabu yako ni kuzawadiwa risasi,kubambikwa kesi za ugaidi,uhujumu uchumi, uhaini,utakatishaji,nk.Halafu eti tunawasingizia wazungu awataki tuendelee,Mara sijui ukoloni mambo Leo,mara sijui mashirika ya kimataifa nk utadhani hayapo nchi zingine zilizoendelea, haya mawazo yameingizwa na watawala miaka mingi vichwani mwa waafrika ili kukwepa makosa yao ndio chanzo cha ufukara wetu
Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla.
Pompeo amezuru nchi za Senegal, Ethiopia, Namibia na Afrika ya Kusini.
Chanzo: Star Tv Habari
😂😂😂 Ni vizuri wengi wameliona hili.Alivyoona “viongozi wa kisiasa”, yeye akaja kutuongopea kuwa viongozi wa kisiasa ni wale wa vyama vya siasa...Nadhani ana lengo lake la ku spin habari yenyewe iendane na propaganda zake.
👊👊👊 Ukweli mtupu huu!Mfumo mbovu wa uongozi Africa ndio kaburi la ufukara wetu
Kuongoza kiimla ndo kuongoza kivipi Bwashee? Nataka nijuwe ili nione kama sisi nchi yetu inaongozwa kihivyo.
Umasikini wa Africa umetengenezwa na watawala kwa maslai yao👊👊👊 Ukweli mtupu huu!
sputniknews.com