haha! DahMkorea unapambana na Mrusi ee
Wapi wazee wa over
Game inatema magoli balaaView attachment 1049199
Game hazielewekiHivi Humu Ndio Tuseme Vyuma Kukaza Au Mmeenda Kulima?
Duuuuh
Kamandaaaaaaa niaje tupia tupia basi yale madude ya betwall tuokoteokoteDuuuuh
Nilidhani wamechoka kufungana
Mkuu Void ndio mtaalam wahayo mambo mkuuKamandaaaaaaa niaje tupia tupia basi yale madude ya betwall tuokoteokote
Siombaya
Dinner saved View attachment 1049241
Ukitaka kupoteza muda wako na kujiona huna bahati basi komaa na jackpot
Ni kupoteza muda wako tu mkuu, toka iaenza umesikia wangapi wameshinda ? Ila watu wanakula kawaida daily na sio jackpot
Utaota kila siku umenunue gorofa kwa jackpot matokeo yakitoka unakuta ume hit 5 kati ya 17
Hahaaaa Mkuu unajua tabu utakayoipata, ukilazimisha kubet siku ambayo hakuna upepo.Hivi Humu Ndio Tuseme Vyuma Kukaza Au Mmeenda Kulima?