Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Oyaaaaaaa kuna thread ya jackpot only?
Nunua line ya Safaricom wala hautajutia lakin bank naamini siku moja utajuta kama mimi.Niaje Wadau.. Nataka Nifungue Ac Ya Bank Ambayo Nitaweza Kulipia 1xbet.. Si Tawi Lolote Tu Ama ..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rostema kilikusibu kipi tena ndugu yangu[emoji32][emoji32][emoji32]Nunua line ya Safaricom wala hautajutia lakin bank naamini siku moja utajuta kama mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifungua akaunti benki, nikafanikiwa kuingiza pesa 1xbet, zilipita siku nyingi kidogo bila kupeleka pesa huko 1xbet.Rostema kilikusibu kipi tena ndugu yangu[emoji32][emoji32][emoji32]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oyaaaaaaa kuna thread ya jackpot only?
Nilifungua akaunti benki, nikafanikiwa kuingiza pesa 1xbet, zilipita siku nyingi kidogo bila kupeleka pesa huko 1xbet.
Nilipotaka kuweka pesa 1xbet haikukubali hata kidogo, sasa nimehamia Safaricom line ambayo ni sawa na bure.
Ushauri ni bora kupata line ya Safaricom pesa nyingine anza kama mtaji kwenye akaunti yako 1xbet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuanza na hii, lakini maamuzi ni yako kupunguza au kuanza na 400ksh =10000Tsh
Fafanua kidogoUnaweza kuanza na hii, lakini maamuzi ni yako kupunguza au kuanza na 400ksh =10000Tsh
Sent using Jamii Forums mobile app
Na inaweza kupokea pesa pia?Nenda UBA wapo kariakoo Msimbazi Hakuna haja ya kufungua account wana card yao sh 10000 hyo haina haja ya kuwa na Acc
Sent from my iPhone using JamiiForums