meridianMsaa tafadhali. Naomba kujua kampuni yenye betting ya KENO na jinsi ya kujiunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Meridian na playmasterMsaa tafadhali. Naomba kujua kampuni yenye betting ya KENO na jinsi ya kujiunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo hadi leo iyo m8 ipo kwny account hapo tatizo ni bank za Tanzania wakishaona mzigo unakuja toka kwny kitu kinaitwa betting wana reject wanadai wanaogopa mambo ya utakasaji wa helaMimi ni mhanga wa 1xbet nili kata tamaa na kutoa sadaka ya M.8 niliyoshinda kutoa ikawa haiwezekaniki, unatoa kwa benk inakaa muda inarudi kwenye akaunti, mwisho wa siku nikaambiwa nitume vitambulisho, passport, bank statement, ili nitumie skrill nilipo soma kwenye mablog ya nchi mbalimbali nikakuta wanalalamikia kitu hicho hicho nikajikatia tamaa.
Duh,mm hzo odds 13 tu zingenitosha kabisaa.Mkuu tupia basi na leo kaabla ya games ili tudokoe hapa na pale.Muhindi alikua analia vibaya sanaView attachment 1054923View attachment 1054926
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Mimi huwa napokea mzigo vizuri tu kupitia bank! Sema inabidi uvumilivu kidogo. Inachukua hadi siku 14 za kazi hadi upate hela.Kwaiyo hadi leo iyo m8 ipo kwny account hapo tatizo ni bank za Tanzania wakishaona mzigo unakuja toka kwny kitu kinaitwa betting wana reject wanadai wanaogopa mambo ya utakasaji wa hela
Sent using Jamii Forums mobile app
fata hatua izoMsaada jinsi ya kutuma hela kutoka safari com kwenda vodacom mpesa!! Kwa anayejua pls
Sent using Jamii Forums mobile app
2.5+ oddsItuano vs sao Paulo 2-4goal ,viterbese vs trapan 3+goal or 3-6goals game sured 1000%%%10000%%% weka hata nyumba