WEKA GG N OV 2.5 MAXBET WIFE
1xbet kodi 0%ila odd zao chini kdgBetpawa, Parimatch
Sent from my iPhone using JamiiForums
Princess betBetpawa, Parimatch
Sent from my iPhone using JamiiForums
1xbet imerudi mkuu? Au bado line ni safaricom?
Je minimum withdral ni kiasi gani?; vp customer support ipo active?
Tena mbona naona hii ya safari com ni nzuri kuliko ile ya kwetu kutoa na kuweka ni ndani ya dk 3 ila najiuliza siku wakitoa gafla mobile payment ya Safaricom tutakua na vilio vya kusaga meno humu1xbet imerudi mkuu? Au bado line ni safaricom?
Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Ukipoteza line je?Tena mbona naona hii ya safari com ni nzuri kuliko ile ya kwetu kutoa na kuweka ni ndani ya dk 3 ila najiuliza siku wakitoa gafla mobile payment ya Safaricom tutakua na vilio vya kusaga meno humu
Sent using Jamii Forums mobile app
J
Je minimum withdral ni kiasi gani?; vp customer support ipo active?
hapo nimeelewa wakuuUwe unaandika vizuri ueleweke aisee, nadhani unamaanisha double chance ya 12, yaani hapo unabashiri hakuna draw yaani Timu ya nyumbani ikishinda umekula au Timu ya ugenini ikishinda pia umekula ila ikitokea draw umeliwa!
Wako very active. Kutoa kunaanzia buku 2 mkuu.J
Je minimum withdral ni kiasi gani?; vp customer support ipo active?
Utaipotezaje? Ina maana unatembea nayo? Weka ndani kama passportsUkipoteza line je?