Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau,humu ndani mbona sioni watu wakibet supabets,wana vijackpot vya team 4,6,10 na 13 ila kodi 20%

Sent using Brain
 
Nili-deposit tangu 21/03 mpaka sasa balance ni 0.00.
Nimejaribu kuchat nao through app, wapo very slow kijibu. Pia hawatoi suluhu.
It seems hela ipo 'hewani' kuwafikia.
Mkuu ulijaza "008 dusupay"
Au ulijaza 008 pekee kwenye ref no?

Je ulijaza form ya mwisho kuingiza no ya simu na no ya muamala uliopokea toka mpesa/tigopesa
 
Yeah! Na M-Pesa walithibitisha muamala.
Niki-overlook transaction id tu
Kama unayo sms ya muamala uliolipia, kama ulifuta wapigie mtandao wako wakutumie tena
Rudia zoezi zima hadi hatua ya mwisho jaza hiyo form
 
Kama unayo sms ya muamala uliolipia, kama ulifuta wapigie mtandao wako wakutumie tena
Rudia zoezi zima hadi hatua ya mwisho jaza hiyo form
Thanks! SMS nilifuta. Nawapigia voda sasa hivi
 
Mkuu haiwezi tokea mnunuzi akakosekana au ukachelewa kupata mteja?, mfano kama unaharaka na hela hiyo
 
Wakununua au??? Kama wakununua wapo pia kuna option ya ku sell na ukitaka kusell watu wanaorodheshwa unaangalia yule mwenye rates nzuri unamuuzia ila mm najitajidi nitafute laini ya safaricom tu
Mkuuu wateja wa haraka wapo?

"World war Z"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…