Dah hivi kweli ndugu yangu upo serious na betting? Kweli unabeti Mia tano upate elfu? Kweli? Ebu jitahdi kutafuta mtaji fanya kazi ya maana achana na hzo betting zisizo na faida tafuta elfu tano au kumi INGIA kazin mkuu.
Mtaji umekata ndugu yangu....imebaki hiyo jero....sema landa ni kero tu nimeleta ila nataka hiyo jero ikue na kufika zaidi ya hiyo buku 5.......tuombe mungu! nitaweka mlejesho uone je nitapata msingi angalau elfu 10?....Pia kila mtu ana strategy zake ....hiyo ni plan yangu nina maana kufanya hivyo na nipo serious kweli!Dah hivi kweli ndugu yangu upo serious na betting? Kweli unabeti Mia tano upate elfu? Kweli? Ebu jitahdi kutafuta mtaji fanya kazi ya maana achana na hzo betting zisizo na faida tafuta elfu tano au kumi INGIA kazin mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alambe lolooo sio..[emoji23]Nimebet pesa kubwa kubwa nimeliwa mpaka bhasi.. Hadi option ya Over 0.5 inachanwaaa balaaa...!! Jana nikaweka 200 nkala 19k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nkasema kanji mbwa sanaaa mamaee zake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nilidhani Ni uoga kumbe huna mtaji endelea pambana mbona itakaa sawa tu mkuu wanguMtaji umekata ndugu yangu....imebaki hiyo jero....sema landa ni kero tu nimeleta ila nataka hiyo jero ikue na kufika zaidi ya hiyo buku 5.......tuombe mungu! nitaweka mlejesho uone je nitapata msingi angalau elfu 10?....Pia kila mtu ana strategy zake ....hiyo ni plan yangu nina maana kufanya hivyo na nipo serious kweli!
Nimebet pesa kubwa kubwa nimeliwa mpaka bhasi.. Hadi option ya Over 0.5 inachanwaaa balaaa...!! Jana nikaweka 200 nkala 19k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nkasema kanji mbwa sanaaa mamaee zake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Krasnodar 3 kashinda 3 au ulimuua?Daah mkeka wang mmoja ulikuwa na Qarabag sema mchawi alikuwa Krasnoder 3 nmeumia sana kwa kumuweka katika mkeka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapambano yanaendelea mkuu kwahiyo hakuna kukata tamaa...ni utulivu tu....wacha nitafute mtaji nitarudi tu!...pesa ipo hapa wala hakuna wasiwasi! Shukrani mkuu kwa ushauri!!!Sawa mkuu nilidhani Ni uoga kumbe huna mtaji endelea pambana mbona itakaa sawa tu mkuu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilipata M.8 nikaangaika kama mwezi ukitoa hela inarudi tena..... nikahangaika ....nikashauriwa nitumie skrill ikashindikana.....baadaye nikakasirika nikazicheza hovyo zooote zikaisha ....nikaachana na hiyo kampuni na sitaki kuisikia kabisa.....maana ku deposit kwa kutumia master card au visa ni sekunde tuu ila kutoa kwa njia hiyo hiyo haiwezekaniki....NINATAFUTA MUDA NIONANE NA TARIMBA ABASI MAANA NAONA MATANGAZO YA HII KAMPUNI BADO YAPO KWENYE VIWANJA VYETU VYA MICHEZO WAKATI HAWAJAWEZASHA WACHEZAJI MFUMO LAINI WA KUWEKA NA KUTOA FEDHA ZAO...WANAFANYA KAZI GANII....WATU WANAHANGAIKA MARA BITCOIN...MARA LAINI ZA SAFARICOM.... HALAFU WANAKUBALI KAMPUNI KAMA HIYO KUENDELEA KUTANGAZA MATANGAZO NCHINI>>>???Jamani ninaomba mwenye kutumia 1xbet anisaidie kufanikisha kuwithdrawl pesa kwa kutumia mastercard. Kama mnavyojua 1xbet imeondoa huduma ya miamala kwa njia ya simu. Anisaidie maana ninazaidi ya mwezi nahangaika na sijafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna shukuru kwa taarifa mzee baba funguka kidogoWale wa 1x bet kuna njia mpya huko ya kudeposit inaitwa My bux wanauza voucher ambazo unanunua kwa tgo pesa, mpesa, airtel money then unadeposit 1x bet
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe hujamwelewa jamaa alichokua anamanisha. Anachomaanisha yeye ni kuwa, inawezekana kweli mtu kutabiri hizo droo zote kwa usahihi kiasi cha kuhit 16? Sio kwamba anakataa kuwa matokeo ambayo team zimeandikiwa sio sahihi!!Mkuu dunia ya leo unaweza kudanganya matokeo kwenye issue kama hii ya matokeo?
Apps kibao zinakupa live updates
Au google mechi moja baada ya nyingine utapata majibu
Jackpot ni noma mkuu wanachagua timu ambazo hazina hazina uhakika
Hapo unavyoona wewe kuna mtu kakosa mechi moja tu
Jong ajax leo anaambarutiwa tu
Hii inawezekana ikawa kweli. Kuvutia watu wacheze kwa wingi.halafu kumbe wanapanga wenyeweWewe hujamwelewa jamaa alichokua anamanisha. Anachomaanisha yeye ni kuwa, inawezekana kweli mtu kutabiri hizo droo zote kwa usahihi kiasi cha kuhit 16? Sio kwamba anakataa kuwa matokeo ambayo team zimeandikiwa sio sahihi!!
Yeye anafikiri yawezekana betpaw wanaamua tu kudanganya kuwa kuna mtu ali_hit 16, 15 etc ili tu kuvutia watu wacheze kwa wingi zaidi!!
Sent using Jamii Forums mobile app