Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

leo kama kawaida uruguay cap,, colombia cap,, italy normal,, ivory cost cap. natia mzigo.

mawazo yenu ni muhimu
 
leo kama kawaida uruguay cap,, colombia cap,, italy normal,, ivory cost cap. natia mzigo.

mawazo yenu ni muhimu

Colombia simpi cap...ugiriki wana defence sana mkuu,italy na england nacheza draw dakika 45
 
Sasa hapo odds za kila mechi ziko wap mkuu?na hyo ilyowekwa X3 inamaanisha nin kk?maana makampun makubwa x1/x2 ni kushinda au kudroo timu ya kwanza au ya pili.Naomba nifahamishe mkuu hyo X3
 
Sasa hapo odds za kila mechi ziko wap mkuu?na hyo ilyowekwa X3 inamaanisha nin kk?maana makampun makubwa x1/x2 ni kushinda au kudroo timu ya kwanza au ya pili.Naomba nifahamishe mkuu hyo X3

Hizo zilizowekea X ndio odds mkuu...hapo nimecheza dakika 45,...7 ina maana aliyekuwa hom atashinda kipindi cha kwanza na 9 ina maana mechi itaenda draw mpk halftym
 
Nimekuja kuwasalimia wazee wenzangu tuendelee ku invest..
 
Siachi hadi hela yangu irudi. Nahakika napata leo
iplay8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…