Mkuu asante nimefuata kwa macho mtaji ulikatajana kwa barca daa.naanza namoja hii kazi ngumu aseeMAMA.MKANYE MWANAO TRENI INAPTAAView attachment 1062265
Imesumbua kidogo leo walikuwa wanarekebisha mitambo. Kesho itakuwa poa.
Jaribu kuwatembelea play masterWadau nmeshindwa kubet leo Meridian matako kuna balance kule afu network ya kidwanzi kati sio weekend,
ila nimeizea platform yao options kibao.
Site gani nyinyine nzuri? ila sitaki pari match, mkeka, supabet, na zingine zote za kidwanzi.
Hakuna namna mkuu Fanya hivoDaah yaani niwe na line zingine mbili? Poa itabidi nitafte na simu kabisa
[emoji2398]troublemaker 2019. all right reserved.
Tatizo lilikua Safaricom au 1xbet?Imesumbua kidogo leo walikuwa wanarekebisha mitambo. Kesho itakuwa poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lain unafanya bei gani,na upo wapi kwa kuweza kukupataLine inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.
Wengine wanalalamika bei ni kubwa Mara Usafiri gharama, laiti mngejua mchakato wa kuitoa Kenya ulivyo mgumu msingeongea maneni ya kejeli.
Betting njema wadau tukutane kwenye play offs za NBA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu p didy hii app inaitwaje???MAMA.MKANYE MWANAO TRENI INAPTAAView attachment 1062265
Naomba na mimi nikazie kwa hisani yako mkuu.Mkuuu p didy hii app inaitwaje???
Msaada [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu Mimi naanza moja.alichonifanya barca sisahauKuanzia juzi namtandika Mhindi laki moja tu moja tu. [emoji16][emoji16]View attachment 1062288
Sent using Jamii Forums mobile app