Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uchaguzi wako ni mzuri ila ungeweka timu tatu tu ungepata odds 3 kuliko timu kibao kama hizo zenye za double chance.

Siri ya kuwin betting sio kuweka timu nyingi zenye odds chache hapana!! siri ya betting iko kwenye idadi ya game unazoweka ukiweka double chance saba za uhakika zenye odds 3 ni rahisi kuchana mkeka kuliko kuweka win 3 za uhakika. Timu zinavyozidi kuwa nyingi ndio hatari ya kuchana mkeka inavyoongezeka na hata odds ya 1.01 inaweza chana mkeka. Ndio maana betpawa wanatukamata kwa trap ya kuongeza bonuses kutokana na namna tunavyozidi kuongeza timu kwenye mkeka. Huo ndio mtego wao mkubwa.

Ningekuwa mimi leo ningeweka game tatu za direct win Liverpool, Ajax, Porto aidha na Bucharest. Baaasi! Natupia stake yangu nzuri Nasubiri mirindimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajax anacheza kesho sio leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa washenzi ukitaka kuwala usiwe na papara na kuweka timu nyingi

Cheki nilivyo jilipua hapo chini

7313 MB 05/04/19 08:54
MULTIBET-3
Kiasi: ***
Utashinda: ****
Kodi ya Zuio: ***
Kiasi baada ya kodi: ****
Amilifu ▲
No. : 1
Mchezo: 2194
Tarehe: 05/04/19 22:00
Jina: Southampton-Liverpool
Odds: 1.45
Aina: 3 Way
Chagua: Liverpool
No. : 2
Mchezo: 5982
Tarehe: 05/04/19 22:30
Jina: FC Porto-Boavista FC
Odds: 1.21
Aina: 3 Way
Chagua: FC Porto
No. : 3
Mchezo: 4364
Tarehe: 06/04/19 17:00
Jina: Huddersfield-Leicester
Odds: 1.76
Aina: 3 Way
Chagua: Leicester

13SEPTEMBER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…