Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premierbet na yenyewe imekuwa tabu....... wakuu kama kuna mtu amekutana na hii changamoto ya kutoa fedha premier baada ya haya maboresho mapya na jinsi gani alivyolitatua anisaidie. Sasa tutakwenda wapi kama hii kazi ishakuwa ngumu hivi kutoa pesa?
 
PSG WIN OR DRW &UND 3.5
CS 1-1/2-1

INTER WIN & UND 2.5
MAXB

CS 1-0 OR 2-0
 
Kipindi Cha nyuma humu ndani hatukuws waoga tulikuwa tunakuja ns possible ya kila timu no matter what hata iwe na odds kubwa kiasi gan ilkua inaletwa hvyo ukiamua utembee nayo au uchukue game 3 - 5 ilkua uhakika upo sa siku mtu analeta possible ya odds 1.2 Yan hata hapo ukipunguza risk utabaki na odds ngapi?

Sikuhz wale jamaa wa kuweka jero watungue 30m hawapo sababu ya uoga watu ilkua wanaua Barcelona, man u, chelsea, Madrid, Bayern juve alafu watu wanaeka jero shuhuli imeisha au hata droo first half ila siku hz mzee mtu analeta odds 1.2 humu kweli tutatoka kweli achen uoga aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…