Unakosea sehem 1 tu mkuu, epuka kurudia rudia sana timu kwny mikeka yako
Pole bwana kaka tatizo naloona hapo ni wingi wa timu kwenye mkeka mmoja tujitahidi kuweka timu zisizidi nne kama ni lazimaNimechanganyikiwa kwa kweli leo sina la kusema.......hii kitu sio bure!!!!!!, kanji au mzungu wana namna wanatufanzia!!....View attachment 1065969 mahesabu yote yameharibika! leo!
ilinicost juzi kwa Lyon nilimrudia kimakosa akatembea na mikeka miwiliUnakosea sehem 1 tu mkuu, epuka kurudia rudia sana timu kwny mikeka yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vi odds vidogo navichukia sanailinicost juzi kwa Lyon nilimrudia kimakosa akatembea na mikeka miwili
Sent using Jamii Forums mobile app
mi ndo mana najilipuaga na odd kubwa zikichana poa yani hizi 1.11 huwa nazipita tu
Kweli aisee hahaaa!!!mi ndo mana najilipuaga na odd kubwa zikichana poa yani hizi 1.11 huwa nazipita tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ufute kwenye kichwa chako hakuna kitu kinachoitwa fixedmkeka wa kuforwadiwa wa group la fixed na sijawahi kuwatumia hela hata siku moja
GAWANYA PATA MIKEKA 2CHUKUA TIMU NNE TU KATI YA HIZO: CODE - Z98PBView attachment 1066036View attachment 1066035
Sent using Jamii Forums mobile app
MMMHNaomba ufute kwenye kichwa chako hakuna kitu kinachoitwa fixed
Zipo mkuu....Naomba ufute kwenye kichwa chako hakuna kitu kinachoitwa fixed