Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hawa betpawa wame anza kuleta mizengwe nime deposit pesa ime ingia pungufu wana sema tatzo la kimtandao
nasema hiiiiiii pesa yangu haipotei kizembe ntarara nao mbereeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu hata mm nimedeposit 5260 chaajab imeingia 260 tu elfu 5 mpaka Sasa haijaingia. Wameanza kuwa wahuni na napiga smu yao iko busy muda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndomana nasema hakuna club inaweza risk huu mchezo
Kwa hela gani watalipwa hadi warisk kila kitu
Hao red star walibainika au ilikua tuhuma?
Waulize juve watakwambia
mwaka jana tu red star ya lig 2 france ilishtukiwa
 
Wewe jamaa Kuna watu wanayo pesa hujapata kuona.ebu fikiria wakina mess na Ronaldo pesa waliyo nayo lakn hata kwenye list ya matajiri dunuani hawapo. Acha mchezo watu wananua mechi kabsaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio pesa za kununulia game
Tatizo utazirudishaje hizo hela kwa stake?
Kumbuka stake limit
Ikitokea game imeuzwa zile pilikapilika za kubet kwa hiyo game kwa bookies wote duniani lazima itakua detected
Anyway kila mtu aamini anavyo amini
Ila usijidanganye kununua Fixed
 
mkuu unapozungumzia fix sio watu tu. hao wenyewe wenye kampuni ndio wanaleta huo mchezo ili wapige hela. wanaangalia nani anaaminiwa sana then wanatuzunguka
 
Mayu, kuna jambo hujajua bookies wananunua odds kutoka kwenye makampuni mbalimbali mfano mzuri M-BET wanapata kutoka kwa pinnacle, fixing zipo kaka na zinafanyika sana Italy, Greece na Turkey kuna bookie mmoja anaitwa Unibet ana_provide huduma hadi Iran anavuna sana pesa kwa hizo league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…