Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Haka kamkeka nilikaweka jana sema nilikuwa sipo serious ndo maana hata kastake kalikuwa ka dogo nimeamka leo nakuta kametick..
 
Hawa warusi game sijui imehairishwa toka jana ipo live na imebaki yenyewe tu nivute mpunga

Sijawahi kutana na case kama hii
Inakuaje wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka unamla kanji kimyakimya halafu unapenda kusema hukua serious...anyway tuache hayo hivi hii kampuni ndio ile kutoa mpaka kwenye vibanda vyao?

Shida yangu mi huwa si bet mara kwa mara yaani ninaweza weka mzigo leo ikapita wiki ndo nikaweka tena,sema ntajitahidi kuwa nashare humu..yeah ndyo hyo mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…