Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Timu za afrika tunazijua vizuri sana
Ukiangalia kwa jicho la tatu kwenye O/U kuna hela ya kutosha
Hapo kuna odd za kufa mtu

Follow your instinct

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazungumzia chini ya mabao 3 kipindi cha kwanza na na jatika kucheza hii angalia odds za over 2.5 full time ziwe kuanzia 2.35 hii inakupa mwelekeo kuwa mechi haina magoli mengi
Huu ushaur sio poa inategemea na league asee, jana kuna nliifuata ilikuwa ya kibabe ila ikatoa under mechi ya shark04 ilikuwa 1.76 ila mechi ya japan under 3.5 ilikuwa 1.09 ikachana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu jamvini hakuna anaetumia njia ya My bux kudeposit pesa 1xbet??? Au ndo mnaangalia nani kaulizaa..[emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijawai ona mtu kapost kwamba katumia hiyo njia

Ila inafanya kazi kama kudeposit mostbet

Yaani kuna kampuni unaipa hela halafu yenyewe ndio ina deposit 1xbet
Makato yameshiba kidogo


Kama ni mkamalia wa wastani tafuta line ya safaricom itakufaa zaidi

Kama ni mkamalia nguli tumia LocalaBitcoins.com

Au jaribu hiyo njia utupe ushuhuda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani wanaouza Tips/Odds hawana hela za kucheza ? Kuwa makini na majibu yako ndugu mn kuna kampuni nyingi sn zinauza odds unadhani mimi wakwanza ? Wake up kijana .


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa mkuu unauza odds, kama ni unauhakika nazo weka mzigo mwenyewe.
Mfano odds 5.2 unaweka 1,000,000/= then unapata 5,200,000/= faida 4,200,000/=.
Kwa kifupi hizo odds hata ukiuza hupati hizo 4,200,000/=.
Mbwa kala mbwa.
 
Unadhani huwa hazipatikaniki kuuza odds ni kushare tu nawatu cyo kuwa mtu hachezi kwani compony zinzouza hazijui kiwa kuna kula hzo hela


Sent from my iPhone using JamiiForums
kifupi ni kwamba hakuna wa kununua ODDS apa jukwaani labda uka watangazie uko fesibuku ama utengeneze grp lako la watsap watangazie una uza odds
sisi umu tuna chambua wenyewe na tushare wenyewe odds bureeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani wanaouza Tips/Odds hawana hela za kucheza ? Kuwa makini na majibu yako ndugu mn kuna kampuni nyingi sn zinauza odds unadhani mimi wakwanza ? Wake up kijana .


Sent from my iPhone using JamiiForums

Unapokosea ni kwamba sehemu ulipokuja kuuza sio sahii,hizo Odds unazouza humu zinapatikana kibao na watu wana share buree kabsa ss tuje kununua zako kwa sababu ipi labda?au ndo zile mnaitaga "Fixed".. hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…