Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Lille mpe kabisa win leo navyoona atazidi kumchelewesha PSG kutangaza ubingwa.
 
Wapi safari kom nitapata
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wakuu naombeni ushauri kwenye hizo slip mbili yupi atoke na yupi aingie,nahitaji zisipungue odds 20 kwa kila slip so kama kuna mechi naweza iingiza na kama kuna inayotakiwa itoke nitashukuru sana kwa ushauri wenu.

Karibuni sana.
 
Shida watu wengi tunayo tamaa Kama n suala la odd 2 tu aiseee nakuhakikishia hata mm naweza kutengeneza mkeka wa odd 2 kla sku n uhakika 100% inatoa shda hatuna mtaji tunataka odd nyingi. Njoo na odd 10 za uhakika tuoneshe hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…