Direct win Vs Over/Under ni kama Messi vs Ronaldo kila mmoja anajikuta mwamba zaidi ya mwenzie [emoji4][emoji4][emoji4] Kila mtu anamuonya mwenzie kwamba option hii haifai! Mm nashauri kitu kimoja kila mtu aachwe abeti kwa style yake na kwa option anayoipenda kama umeona analiwa muache Aliwe yeye ndo anaiaminia hiyo option [emoji855][emoji855][emoji855] Kwahyo tuwapumzishe kidogo wazee wa Direct win ! Muwaache kama wanavyoamini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Over/underHakuna boraa sasa ulitaka niweke option gani??? Magoli au???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi bet over 0.5 kwa muda wa mwezi niliishia kuliwa tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Ni kweli hakuna option rahis maana ukiweka under 4.5 ndo kama Jana zenit walivuka.Niliwahi bet over 0.5 kwa muda wa mwezi niliishia kuliwa tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana pia hao dusu pay ni sehemu tatizo huko Mostbet.Jamani kuna mtu amewahi kutoa pesa mostbet. Nimewithdraw hela kutoka mostbet naona bado haijaingia kwenye m-pesa .hao jamaa wanatumia dusupay sytem kulipa .aliwahi anisaidie
Nipo mara huku kuna jamaa yangu kaingia sirari huko mpakani na kenya ndo namsubiria
wewe mkolosai ulipoteleaga wapi nmekupmWalau kupunguza machunguView attachment 1072006View attachment 1072007View attachment 1072008
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana,Hello!! Samahani naomba kuuliza ukitoa pesa mostbet inachukua muda gani? Naomba msaada maana nimetoa hela kwenye account yangu ya mostbet kuja mpesa na iko bado kwenye processing.any useful information will be appreciated
Utasikia uwe unaposti kabla ila nikipost watu wanaogopa kufata unagopa nyuki na huku unataka asali