Ndugu zangu naomba msaada zaidi kwa mtu ambaye ameilewa vema sheria ya halftime/fulltime. Najua watu wengi huwa wanatamani kuicheza ila wanaogopa, mimi nimejaribu mara kadhaa ila nimekula za uso, ile sheria naona kama kuna sehemu inakanganya, naomba msaada zaidi wa ufafanuzi.