Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1/1 maana yake home ashinde kipindi cha kwanza na ashinde mechi pia....2/2 vile vile !!!
Mfn: Watford akapata bao dakika ya 10 likadumu hadi mechi inakamilika 1/1 inakuwa BOOOOOOMMMMM!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1/1 maana yake home ashinde kipindi cha kwanza na ashinde mechi pia....2/2 vile vile !!!
Mfn: Watford akapata bao dakika ya 10 likadumu hadi mechi inakamilika 1/1 inakuwa BOOOOOOMMMMM!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi navoelewa ni kwamba ukiweka 1/1 maana yake home team ishinde vipindi vyote,,,yaani 1st half aende kifua mbele i.e 1-0, 2-1 etc...na pia kipindi cha pili vivyo hivyo ashinde pia,,,hapo maana ya 1/1 inakuwa imetimia...
Mfano liverpool vs chelsea...ili 1/1 iwe won inabidi 1st half imalizike liver akiongoza kwa idadi yoyote ya magoli, na pia 2nd half pia aongoze kwa udadi yoyote...tuseme 1st half ikaisha 1-0, 2nd half pia ikaisha 2-1= 3-1 FT. Hapo 1/1 itakuwa WON.
Ila ikiwa 1st half liva 1-0 chelsea,,na 2nd half ikaishia 0-0 na hivyo kufanya game kuisha kwa 1-0 basi hapo itakua LOSS!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…