Wapuuzi sana wananinyima mkwanja mrefu sana leo hawa
13SEPTEMBER
Tupe uzoefu wako kwenye hii ishuWazeee wenzangu wa kubet kuna kamari nyingine hii hapa jaribuni na nyie kuipitia kiutani utani ivi mwisho wa siku mnatoboa coz nothing u lose at jus a second kumaliza link na kuanza kushare
Sent using Jamii Forums mobile app
Ee
una poteza mda wako bureee hakuna pesa uta ambulia apo nani asie jua izo mambo???Nimekutana nayo leo so bado sijajua if ts true or not ila kwa kuwa huna cha kupoteza jaribu wakilipa ni faida kwako wasipolipa nothing u loose na utakua umeongeza uzoefu kwenye scum meseji
Sent using Jamii Forums mobile app
UKIONA KILA BKMAKER KAMNGANGANIA WIN KIMBIA MIMBA HIOO HAINA BABA WALA MAMAA...aiseeee haya majamaaaa
attempt 31 goal 0-0
wazee wa direct win kazi tunayoView attachment 1072515
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya arsenal umekula!! Sasa wale waliokua wanasema 1/x wasemeKwahiyo wakuu kama ntakua nimewaelewa vizuri maana yake hapa ni won
Ilibidi nitengeneze single mbili ili nielewe zaidi
Ya madrid imegomaView attachment 1072533
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuruni sana kwa darasa la hf/ftKwahiyo wakuu kama ntakua nimewaelewa vizuri maana yake hapa ni won
Ilibidi nitengeneze single mbili ili nielewe zaidi
Ya madrid imegomaView attachment 1072533
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ya arsenal won mkuu!!!Kwahiyo wakuu kama ntakua nimewaelewa vizuri maana yake hapa ni won
Ilibidi nitengeneze single mbili ili nielewe zaidi
Ya madrid imegomaView attachment 1072533
Sent using Jamii Forums mobile app