Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jaman msaada haya mambwaaaa betpawa ninewithdroo pesa tangu alhamis hadi leo hii aijafika ukiyapigia simu hayapokee,nipen njia mbadala niwasiliana na haya majibwaaa yenyewe yanapenda yatule tuuu ss ideot kbsa.
 
Nimewithdraw saa saba usiku wa kuamkia leo baada ya daika tatu mzigo umeingia. Labda kuna kitu unakosea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…