Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Naangalia game ya West Ham wanashambulia balaa
Duuh namaliza tu kuplace bet wakatupiaNaangalia game ya West Ham wanashambulia balaa
Aisee mkongwe hawa jamaa unatumia pc? Maana kwa simu ni kasheshe aisee
Kama vipi CashOut maana bado utapata ela nzuri...usije kosa kabisaHela ya kiwanja bado timu tatu[emoji16][emoji3526]View attachment 1076689
Upo sahihi mkuuKama vipi CashOut maana bado utapata ela nzuri...usije kosa kabisa
Mainz tayari,nasubiri hiyo game ya saa11 saivi half time kuna bao mojaKama vipi CashOut maana bado utapata ela nzuri...usije kosa kabisa
Kma bado game moja chukua mpunga hata lak5 kisha bet Opposite iyo game iliyobaki ili hata ikichana unampiga pesaMainz tayari,nasubiri hiyo game ya saa11 saivi half time kuna bao moja
Ckupingi mkuuKma bado game moja chukua mpunga hata lak5 kisha bet Opposite iyo game iliyobaki ili hata ikichana unampiga pesa
Mkuu Cashout aisee usije saga meno ishawahi nitokea hiyo..Mainz tayari,nasubiri hiyo game ya saa11 saivi half time kuna bao moja
Yeah kila la kheri..kweli kabisa ni kushauriana tu na kupeana experienceCkupingi mkuu
Yeap ila kama ana moyo wa ujasiri akomae nayo unaweza kuta ndio bahati yakeYamenikuta sana hayo mambo mkuu
Kama vp una cash out
Ckupingi mkuuKma bado game moja chukua mpunga hata lak5 kisha bet Opposite iyo game iliyobaki ili hata ikichana unampiga pesa