Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Hatubet kimazoea aisee, sio lazima leo ufanye ulichofanya jana. HahahahahahaNa jana ulifanya hivyo kwa city?
Hatubet kimazoea aisee, sio lazima leo ufanye ulichofanya jana. HahahahahahaNa jana ulifanya hivyo kwa city?
ana roho ngumu sana mi nisingesubiri dahHongera sana mzee jana kumbe huku Cashout??
ana roho ngumu sana mi nisingesubiri dah
Man u win
Real madrid win
Liverpool win
Dotmund win
Arsenal win
Odd za kibabe izooo
[emoji724]View attachment 1077587
[emoji726][emoji91][emoji91][emoji95][emoji724]View attachment 1077587
Haha mkuu madrid ndo wasiwasi hapoVuta kiti upate drinks uli relax maana huu mkeka sio poa.
Jamvi lilikaa vizuri hili. Arsenal yupo live 1:1 anaweza kukupa Pasaka.Tujaribu hivi wakuu,chagua zinazokufaa weka mzigo,and as usual stake what u can afford to lose!
Real Madrid Under 4.5
Man UTD Under 4.5
Golden State warriors Under 241.5 Total Spreads (NBA)
Liverpool Under 4.5
Okhlahoma City Win (NBA)
Arsenal Win
PSG Win/1x
PSV Win
FC Ural 1-3 goals
Jamvi lilikaa vizuri hili. Arsenal yupo live 1:1 anaweza kukupa Pasaka.
Mpangilio wako nimeupenda. Umekaa vizuri japo Arsenal kashaharibu 1:2 nae anakuwa kama Man UHizi mechi sijaziweka zote kwenye mkeka mmoja mkuu ...yaani hapo nikama mikeka mitatu tofauti na mzigo nimeweka wa maana!
Mpangilio wako nimeupenda. Umekaa vizuri japo Arsenal kashaharibu 1:2 nae anakuwa kama Man U
Mkuu hii n kampuni gan?
Figo yangu tafadhali,sitaki utani ,naomba uirudishe[emoji36][emoji36]Man U Gg weka figo
Achanaga na ma ngumu kumeza mkuu! Japo huu mchezo hauna formula ila mara nyingi odds za namna hiyo huwa draw ya kufikia!
Mkuu hii n kampuni gan?