Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tujaribu hivi wakuu,chagua zinazokufaa weka mzigo,and as usual stake what u can afford to lose!

Real Madrid Under 4.5
Man UTD Under 4.5
Golden State warriors Under 241.5 Total Spreads (NBA)
Liverpool Under 4.5
Okhlahoma City Win (NBA)
Arsenal Win
PSG Win/1x
PSV Win
FC Ural 1-3 goals

Game za Football zote zimetiki kasoro Arsenal hebu tusubirie kikapu
 
Siku ya Ijumaa niliamua kuvunja ndoa na kubet,nimedumu kwenye biashara hii tangu mwezi machi 2014 mpaka siku hiyo.Nilikuwa optimistic sana.

Ila sijaona faida yoyote mpaka sasa,only losses,nilianza na kampuni ya M-bet,kisha, Meridian,Premierbet,Sportpesa,Playmaster,Betpawa na Supabets.

Na juzi nikarudi M-bet kujaribu bahati yangu,niliweka Accumulator ya timu nane Leeds United walitia doa.

I kissed goodbye to my bet.

Zaidi ya mikeka 3500 niliitandika kwa muda wote huo,niliyoshinda ni chini ya 200.
Nitaukumbuka huu mkeka nilioshinda kwa mara ya kwanza.

Mlada Boleslav v Dukla Praha(Home win)

Teplice v Bohemians (Home win)

Gaz Metan Medias v ASA Targu Mures(Home win)

Slovan Bratislava v SP Podbrezova(Home win)
Bye bye
 
Siku ya Ijumaa niliamua kuvunja ndoa na kubet,nimedumu kwenye biashara hii tangu mwezi machi 2014 mpaka siku hiyo.Nilikuwa optimistic sana.

Ila sijaona faida yoyote mpaka sasa,only losses,nilianza na kampuni ya M-bet,kisha, Meridian,Premierbet,Sportpesa,Playmaster,Betpawa na Supabets.

Na juzi nikarudi M-bet kujaribu bahati yangu,niliweka Accumulator ya timu nane Leeds United walitia doa.

I kissed goodbye to my bet.

Nitaukumbuka huu mkeka nilioshinda kwa mara ya kwanza.

Mlada Boleslav v Dukla Praha(Home win)

Teplice v Bohemians (Home win)

Gaz Metan Medias v ASA Targu Mures(Home win)

Slovan Bratislava v Podbrezova(Home win)
Bye bye
Wasalimie Mkuu..
 
Ubalikiwe Mkuu na humu mapambano yaendelea[emoji120][emoji123]
 
Huku pesa nje...nje [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Screenshot_20190422-102656_1xBet.jpeg
 
Wazee clean sheet na Win to Nil,zinanichanganya kidogo ,hebu nitoeni tongo tongo hapo nizielewe
 
napol vs atalanta 2x
wolfsburg vs eintracht frank 2
astonvilla vs millwall 1
derby vs qpr 1
sheffield wed vs briston city 1x
stoke vs norwich 2x
rotherham vs birmingham 2x
bodo/glimt vs sarpsborg 1
wakuu odds67 KABLA CJAFANYA YANGU MAWAZO YENU PLZ.
 
1078029
1078030
1078031

Stoke City v Norwich City

Handicap stokey city (+2)
odd
1.27

stake 1mil

ushauri pls kabla sijasubmit
 
View attachment 1078020 eti km hamtaki kuna asiyetaka hela ? Hahahaaaa!!!!!!!
Pole sn ndg sisi tunapiga tu
Aisee hzo odd mbili kla mtu hapa anaweza kupata na ni rahisi mno Kama uji wa viazi. Njoo na odd kuanzia 10 halafu kla sku uwe unakula ndo utuambie mambo ya group lakni swala la odd mbili hata sisi tunaweza kula syo kla sku n kila saa
 
Back
Top Bottom