Hope itakua mtandao tofauti na Tigo..si ndio?Wakuu kuna mwenye tatizo kama mimi na Meridian,nimedeposit fungu toka alhamisi lakini mpaka muda huu halijafika.Nikiwapigia simu ni ahadi tu za mpaka jioni itakuwa poa lakini wapi.
Yap,MPESA.Hope itakua mtandao tofauti na Tigo..si ndio?
Najua saivi unajilaumu kwa nn uliweka mtaji kidogo[emoji23][emoji23]Portsmouth tenda muujiza bacView attachment 1078169
Najua saivi unajilaumu kwa nn uliweka mtaji kidogo[emoji23][emoji23]
Pole sana! Jipe muda upumzike ndugu, hii michezo sometimes bahati ndio inakuwa inatawala kuliko uchambuzi wa game au kuzijua timu. Ukienda pupa utalia kila siku kama wakati wa gundu bado umekutawala.jamini nifalijini nimeangukia pua leo 500k imezama na maji
[emoji23][emoji23]Yaan ningechukua bajet ya tanzania na kuweka ningekua mbali sana
Ndio maana yake..Mara nyingi mitandao tofauti na Tigo inasumbua kimtindo.Yap,MPESA.
Vp nibadili mtandao nini mkuu maana hili tatizo linajirudia sana kiasi huwa linafanya nitamani kuwahama hawa jamaa ila najikuta narudi tena sababu ya options zao.
Hizo kampuni ni sawa na TECNO NA INFINIX, baba mmoja mama mmoja. Ila ukiwauliza wanajifanya hawajuani.
Shukrani mkuu.Ndio maana yake..Mara nyingi mitandao tofauti na Tigo inasumbua kimtindo.
Hivi unatumia namba ipi kupiga customer care yaoWakuu kuna mwenye tatizo kama mimi na Meridian,nimedeposit fungu toka alhamisi lakini mpaka muda huu halijafika.Nikiwapigia simu ni ahadi tu za mpaka jioni itakuwa poa lakini wapi.
0768 988 200Hivi unatumia namba ipi kupiga customer care yao
nashukuru mkuu maana nipo kwenye kikazi flani najikuta hadi nawafokea wateja wangu...daaah mamamaePole sana! Jipe muda upumzike ndugu, hii michezo sometimes bahati ndio inakuwa inatawala kuliko uchambuzi wa game au kuzijua timu. Ukienda pupa utalia kila siku kama wakati wa gundu bado umekutawala.
Juzi mimi nimepigwa kipigo kibaya sana mpaka nikakata tamaa. Kesho (jana hiyo) nimeamka na hasira nikagombana na mtu hakujua kama nina hasira za bet. Sa'hivi nimejipa muda nitulie kidogo, maana naona upepo haujakaa sawa kwangu.