Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daa bet pawa ni wachawi kila siku wananifilisi Leo nikaona nibadilishe hali ya hewa nikaenda paymaster nimekula Mikeka miwili jamaa wanaweka timu zote wazi betpawa na meridian wanaficha timu.
Screenshot_2019-04-22-19-55-08.jpeg
 
Tnakimbilia kwakua hakuna kodi lakin ni wiz mtupu
Huwa wanaangalia game zilizo tata ndo wanaweka,sa kuwapiga inakuwa inshu sana,we angalia sehemu kama 1Xbet ,kula nikugusa tu ila kwa bet pawa ukila hadi unakuwa huamin,na pointi anakuwa anaziminya hadi munakubali
 
daah sina ham na arsenal wazee!yani nimempiga Ban ya maisha manina zake!!yan sijui nlimuweka wa nini
 
Back
Top Bottom