Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duu
Screenshot_2019-04-22-22-19-19.jpeg
 
Kuna mtu akisikia mwingine kapiga pesa ndefu kwenye bet anaona aah kumbe kazi ndio hii! aisee kazi ndio hii ndugu yangu ila sio kilauni, hii kitu ni ngumu sana asikwambie mtu. Unayemtegemea akupe pesa ndio anakupoteza, yule usiyemtegemea ndio unashangaa anawin... Unabaki tu kusema ningejua, ha ha ha ungejua nini Mzee, next game yule uliyepishana nae ukimuwekea mzigo unashangaa anapigwa unabaki umeshikata yani hakuna mfumo maalumu, Chelsea jana kawafanya watu walale na maumivu!
 
Mkuu Mimi sasa hivi ni mwendo wa magoli tuu dairect win nishaacha kitambo
 
Wakuu naomba namba ya playmaster MkekA wangu umepiga tiki toka Jana jion lakin hawajaweka hela
 
Bet9ja 👍👍 *Z5SF82Y8*
Sporty bet👍 *BC2EY6RH*

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Edmonton Oil Kings - Prince Albert Raiders
12 DC DC
1.17
1231
Spokane Chiefs - Vancouver Giants
12 DC DC
1.17
2205
Baltimore Orioles - Chicago White Sox
2HH 1 - 2
1.73
1442
San Jose Barracuda - San Diego Gulls
X2 DC DC
1.36
MULTIPLE
Odds3.22
Telegram👇

👨‍💻 *the above is well analyse
But since am not the one to play it in the feel*...
*I advice u take caution by staking affordable*👇👇👇
Sporty bet user have only 3games inside... Goodluck
👨‍💻Mbrass tip
 
Ndo shida yao hao play master naambiwa huwa wanachelewa kuweka hela.
Ingia kwenye website yao kuna sehemu ya kuchart nao moja kwa moja.
Wakuu naomba namba ya playmaster MkekA wangu umepiga tiki toka Jana jion lakin hawajaweka hela
 
Mkuu Mimi sasa hivi ni mwendo wa magoli tuu dairect win nishaacha kitambo
Kweli direct win huwa ni pasua kichwa, haijalishi iwe mwanzo wa ligi au mwisho wa ligi. Mimi mwenye nafikiria kuachana nayo niwe nacheza double chance tu, au both to score!
 
Back
Top Bottom