Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Kuiongezea au kuipunguzia team magoliHizi handicap ndio zikoje mkuu?
Ya kwanza nimemuongezea Alliance goli moja lakini mechi ashinde Simba
Yapili nimemuongezea Alliance Goli 2 lakini simba ashinde
Kuiongezea au kuipunguzia team magoliHizi handicap ndio zikoje mkuu?
Mnyama kaishaongeza goliMnyama anakata mauno badala ya kuongeza magoli
duh hatari sana mzee...nasubiri nitembee na upepo wako
Kama muoga weka hiyo
This is SimbaView attachment 1079103
Mnyama kaniangusha hapaKama jasiri kandamiza hii
This is Simba banaView attachment 1079108
una kula pekee yako
kivip mkuuMnyama kaniangusha hapa
kivip mkuu
Mkuu ebu nisaidieni link ya meridian bettingChambua zako zingine niachie najikongja nazo..... Ama zangu ama zake Kudadek! View attachment 1079323View attachment 1079324
Kwenye sim yako upande wa setting. >>allow unknown sources >> weka tickWazee nikitaka ku update PM betting yangu wakati inainstall inafika mahali inaniambia hvyo je nfanyaje?View attachment 1079346
Mkuu ebu nisaidieni link ya meridian betting