Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KAMA ULIDHARAUUUU MZIGOOHUOOO 7+ ODDS BOOOOM AMKA ASBH SOMA MHAMALA
 

Attachments

  • IMG_20190423_112352_834.jpg
    IMG_20190423_112352_834.jpg
    117.7 KB · Views: 36
  • Screenshot_20190423-113022.png
    Screenshot_20190423-113022.png
    132.6 KB · Views: 30
Mrusi anapita nazo
Inawezekana no njia za kuchafuana kibiashara au LA. Ila katika kusoma soma mtandaoni kuna makampuni ya ulaya yashawahi kutambaa na hela za mteja. Yaani uvumilivu ule unawashinda, we unadeposit dollar 2500 halafu unawin Mara tano kwa wiki, Zinatokea siku ambazo ambazo bet zimelost sana kama ya arsenal juzi, wanaangalia faida wanakuta mmegawana coz wewe uliweka over 1.5. Baada ya hapo wanakufyekelea mbali.
 
Wakuu mnaotumia 1xbet kwa njia localbiticoins kiwango cha kutoa kimepanda lini?
Nilitaka kutoa elf50 nashangaa kiwango kimekuwa elf64

Ni kwangu ama?
Screenshot_2019-04-23-12-08-06.jpeg
 
Back
Top Bottom