Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kuna mwenye tatizo kama mimi na Meridian,nimedeposit fungu toka alhamisi lakini mpaka muda huu halijafika.Nikiwapigia simu ni ahadi tu za mpaka jioni itakuwa poa lakini wapi.
 
Hope itakua mtandao tofauti na Tigo..si ndio?
 
Yap,MPESA.

Vp nibadili mtandao nini mkuu maana hili tatizo linajirudia sana kiasi huwa linafanya nitamani kuwahama hawa jamaa ila najikuta narudi tena sababu ya options zao.
 
jamini nifalijini nimeangukia pua leo 500k imezama na maji
Pole sana! Jipe muda upumzike ndugu, hii michezo sometimes bahati ndio inakuwa inatawala kuliko uchambuzi wa game au kuzijua timu. Ukienda pupa utalia kila siku kama wakati wa gundu bado umekutawala.

Juzi mimi nimepigwa kipigo kibaya sana mpaka nikakata tamaa. Kesho (jana hiyo) nimeamka na hasira nikagombana na mtu hakujua kama nina hasira za bet. Sa'hivi nimejipa muda nitulie kidogo, maana naona upepo haujakaa sawa kwangu.
 
Yap,MPESA.

Vp nibadili mtandao nini mkuu maana hili tatizo linajirudia sana kiasi huwa linafanya nitamani kuwahama hawa jamaa ila najikuta narudi tena sababu ya options zao.
Ndio maana yake..Mara nyingi mitandao tofauti na Tigo inasumbua kimtindo.
 
Wakuu kuna mwenye tatizo kama mimi na Meridian,nimedeposit fungu toka alhamisi lakini mpaka muda huu halijafika.Nikiwapigia simu ni ahadi tu za mpaka jioni itakuwa poa lakini wapi.
Hivi unatumia namba ipi kupiga customer care yao
 
nashukuru mkuu maana nipo kwenye kikazi flani najikuta hadi nawafokea wateja wangu...daaah mamamae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…