Uki click iyo my bux itakupa maelezo ya ku deposit na utajaza taarifa zako na pia utatumiwa sms mpesa yenye maelezo jinsi ya kununua iyo vocha sasa ukisha maliza kulipia watakutumia namba za vocha kwenye Email ambazo utajaza sehemu ya vocha ,,kudeposit ni kuanzia 1500. Kutoa ni kuanzia 3500 ila kutoa sijaifuatilia nijue inakuajeKiongozi una deposit vipi mzigo?
Uki click iyo my bux itakupa maelezo ya ku deposit na utajaza taarifa zako na pia utatumiwa sms mpesa yenye maelezo jinsi ya kununua iyo vocha sasa ukisha maliza kulipia watakutumia namba za vocha kwenye Email ambazo utajaza sehemu ya vocha ,,kudeposit ni kuanzia 1500. Kutoa ni kuanzia 3500 ila kutoa sijaifuatilia nijue inakuaje
1xbet ndipo inapokumbikwadaaah hawa jamaa sometimes wana boa apa kwenye option ndo wame maliza wenyewe
View attachment 1081507
Makato yapovip kwenye kudeposit kuna makato
Makubwa? mfano umedeposit 10k wanakata sh ngapi?Makato yapo
Makubwa? mfano umedeposit 10k wanakata sh ngapi?
Ok ni ya kawaida kabisaMfano 50,000 ni sh 2775
Ila kutoa NDO sijajua wanakatajeOk ni ya kawaida kabisa
Nahisi makato yao ni karibu 20+%, ambayo ni tofauti na ile ya makato ya malipo kwa mtandao husika...Makubwa? mfano umedeposit 10k wanakata sh ngapi?
Duu ni hatari hiyo makubwa sanaNahisi makato yao ni karibu 20+%, ambayo ni tofauti na ile ya makato ya malipo kwa mtandao husika...
Yaani mybux wana% yao ambayo ni kama 20+%
Na mtandao husika wana% yao
Ni makubwa, lakini ndio nyenzo nzuri ya kukupa nguvu ya kuwekeza, maana utahitaji upambane utengeneze pesa hasa,Duu ni hatari hiyo makubwa sana
Kudeposit kuna makato kidogo mfano unaweka 20000 unalipia fee kwa gharama ya 1380 lakini kuwithdraw hakuna makato yoyote (kitu cha msingi uwe na email ambayo ni active maana email ndio kila kituvip kwenye kudeposit kuna makato