little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 998
Daah sio poa kabisaInamaana humu hakuna anayetumia Airtel money?
sawa mkuuweka mkeka tuone
we sakayo humu upo jamanMnifundishage na mie kubet sasa
Ndio mkuu registration ndo shda tu mkuuSasa Sirnone unataka usaidiweje? Tatzo ni account registration au nn? Maana mi naaccess vzr via web not App
Ahahaaaaaaa noma mkuuDaa nimepigwa sanaa kwenye betting sina hamu
Saizi kila option naiona ngumu
Betting inastress balaaa
Wakuu kazi njema, mapambano yendelee
Ndio mkuu registration ndo shda tu mkuu
Daa nimepigwa sanaa kwenye betting sina hamu
Saizi kila option naiona ngumu
Betting inastress balaaa
Wakuu kazi njema, mapambano yendelee
Kuna jamaa alinambia watu tnaobet hatuwezi umwa presha maana tnakutana nazo kila sikuDaa nimepigwa sanaa kwenye betting sina hamu
Saizi kila option naiona ngumu
Betting inastress balaaa
Wakuu kazi njema, mapambano yendelee
Imebidi nikuje tuu mkuuwe sakayo humu upo jaman
Odd tamu balaa.Player to score goal at an time pesa nje nje hiyo weka kwa firminho hapo ule pesa yako leo hayupo kikosiniView attachment 1082056
Halafu jamaa hayupoOdd tamu balaa.
Sema sina hela tu.
Kwenye kikosi?Halafu jamaa hayupo
Ngoja tuone mimi nimeweka mzigo ukirudi poa... Ila ngoja nijioneeKwenye kikosi?
Basi watarefund.
Hamna cha bure hapo.
Kama hata cheza kabisa mzigo unarudi.Ngoja tuone mimi nimeweka mzigo ukirudi poa... Ila ngoja nijionee
Sawa mkuuKama hata cheza kabisa mzigo unarudi.
Goodluck.
Liverpool anapigwa kama kakaa. Nimeweka 500,000 × 23 = 11.3m