Mchawi hakosekaniJana baada ya mechi moja ya NK Lokomotvia kubaki yenyewe kwenye mkeka.
Half Time alkuwa anaongoza 1-0 kwa jinsi kanji alivyo mchawi nikahisi anaweza kunila hivyo nikabet mkeka mwingine inplay nikamuua NK Lokomotia Zagreb afungwe kipindi cha pili. Maana matokeo yeyote yale yatakayo kuwa lazima nimle 42k au 45k mwisho wasiku Lokomotvia Zagreb akadraw 1-1 nikala mkek niliomuua Second Half
Ningejifanya kuwaamini ningepitwa na pesa
View attachment 1082279View attachment 1082281
Bado mkuu nipe mwongozo aiseeMzee baba bado umekwama?
Nisaidie kiongoziSawa mkuu yote mema
Mkuu situmii safaricom KWANI 1xbet wameweka njia rahisi hadi nimesitisha ujio wa laini ya safaricomNisaidie kiongozi
Nimekufuata inbox mkuuMkuu situmii safaricom KWANI 1xbet wameweka njia rahisi hadi nimesitisha ujio wa laini ya safaricom
Mkuu situmii safaricom KWANI 1xbet wameweka njia rahisi hadi nimesitisha ujio wa laini ya safaricom
Njia gani hiyo rahisi mkuu hebu share na sisi turudi kundini!Mkuu situmii safaricom KWANI 1xbet wameweka njia rahisi hadi nimesitisha ujio wa laini ya safaricom