Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betslip Id: #71344047 --------------odds 10-------------------

1: 13122 - Weymouth FC v Farnborough FC, Totals 2.5: o - 1.37

2: 6077 - Borussia Dortmund v FC Schalke 04, Totals 2.5: o - 1.55

3: 6155 - Sheffield United v Ipswich Town, Totals 2.5: o - 1.51

4: 6140 - FC Viktoria Plzen v FK Dukla Prague, Totals 2.5: o - 1.48

5: 6171 - Stade Rennes v Paris Saint-Germain, Totals 2.5: o - 1.31

6: 12016 - Brackley Town FC v FC United of Manchester, Totals 2.5: o - 1.47
 
Nisaidie kiongozi
Nafikiri umekosea kwenye kujaza namba ya simu ya safaricom wakati unafanya registration! Hapo ndipo tatizo lako lilipo..

Cha kufanya hiyo account yako bado haijakuwa verified! Sasa fata hizo screenshort ukifika pale kwenye account info kuna sehemu inakupa option ya kubadilisha namba ya simu. Namba ya simu inatakiwa uanze na 7....... ukiweka 0 imekula kwako.

Hapo tutakuwa tumeelewana kama utakuwa hujafanikiwa njoo inbox..
20190427_092353.jpeg
20190427_092705.jpeg
20190427_093141.jpeg
 
SEC BOOM FOR TODAY
CHANGIA TUENDELEE KUMLA MHINDI KWA AKILI ODDS CHACJHE ZA UHAKIKA
WHATSUP +255713458722

Screenshot_20190427-114803.png
Screenshot_20190427-114803.png

Nafikiri umekosea kwenye kujaza namba ya simu ya safaricom wakati unafanya registration! Hapo ndipo tatizo lako lilipo..

Cha kufanya hiyo account yako bado haijakuwa verified! Sasa fata hizo screenshort ukifika pale kwenye account info kuna sehemu inakupa option ya kubadilisha namba ya simu. Namba ya simu inatakiwa uanze na 7....... ukiweka 0 imekula kwako.

Hapo tutakuwa tumeelewana kama utakuwa hujafanikiwa njoo inbox..View attachment 1082333View attachment 1082334View attachment 1082335
Ukifika hapo kwenye my account click hiyo mfano wa pen kama mshale unavyoonyesha halafu itakupa option ya kubadilisha namba ya simu kama screenshot ya pili inavyoonyesha then utatumia verifivation code kwenye namba yako ya safaricom ingiza hizo na account pamoja na namba yako ya simu itakuwa imeshakuwa activated..

Nafikiri tumeelewana
Screenshot_20190427-115519.jpeg
20190427_115633.jpeg
 
Asante sana mkuu nimefanikiwa aisee
Nafikiri umekosea kwenye kujaza namba ya simu ya safaricom wakati unafanya registration! Hapo ndipo tatizo lako lilipo..

Cha kufanya hiyo account yako bado haijakuwa verified! Sasa fata hizo screenshort ukifika pale kwenye account info kuna sehemu inakupa option ya kubadilisha namba ya simu. Namba ya simu inatakiwa uanze na 7....... ukiweka 0 imekula kwako.

Hapo tutakuwa tumeelewana kama utakuwa hujafanikiwa njoo inbox..View attachment 1082333View attachment 1082334View attachment 1082335
 
Ukifika hapo kwenye my account click hiyo mfano wa pen kama mshale unavyoonyesha halafu itakupa option ya kubadilisha namba ya simu kama screenshot ya pili inavyoonyesha then utatumia verifivation code kwenye namba yako ya safaricom ingiza hizo na account pamoja na namba yako ya simu itakuwa imeshakuwa activated..

Nafikiri tumeelewanaView attachment 1082340View attachment 1082341
Tayari mkuu asante sana
 
Du! Porto wamenilaza na viatu ndani ya dakika 5 tu!!! Hivi huu ni uchawi au nini????😳🙄😵
1082395

1082394
 
Back
Top Bottom