Tott kama alipewa wima ni msalaUkicheza magoli hawafungani
Tottenham mnakwama wapi?
Tott kama alipewa wima ni msala
AnachomoaUkicheza magoli hawafungani
Tottenham mnakwama wapi?
Nilitoa over 1.5
Sijui kama itatoa
Mkuu hakuna watu vichaa kama hao tokea mwaka 2016 naangaika kujiunga kwao cjawahi fanikiwa kujiunga hapo ndio utajua jamaa hawako serious na biasharaSi kweli meridian wako vizuri siku hizi mi natumia app yao na sijaona ratio mpaka sasa ilikuwa zamani sana
Hawako serious na biashara ya mtandaoniMkuu hakuna watu vichaa kama hao tokea mwaka 2016 naangaika kujiunga kwao cjawahi fanikiwa kujiunga hapo ndio utajua jamaa hawako serious na biashara
Imagine najirejista wanasema watatuma link ni activate akaunti, nilikaa after 1yr ndio wakatuma link, ajabu iyo link uki click wanakupeleka sehemu ya ku login wanakuwekea kila kitu uki click login wnaleta msg hii
Baadae juzi juzi nikasema labda nibadili email na phone number nifanye registration, nilichoambulia ni hali ile ile ingawa activation link waliwahi kunitumia. Katika uzoefu wangu sijawahi kushindwa kufanya Registration kwenye bet company ila kwa meridian nimeshindwa mpaka leo. Hii ndio sababu sijawahi kua na akaunti ya meridian mpaka leo hii
View attachment 1082473
Huwa hatu deposit ivyo, nenda simtool kitTayari mkuu nishafanya
Nilifanikiwa mkuuHuwa hatu deposit ivyo, nenda simtool kit
dah yakweli hayo chief?anyway Pole sana 1 day yes ni sawa umeweka Pesa bank ipo siku utaenda withdrawnaacha kubet tena!!!
Mkuu thanks nimefanikiwa ku depositMkuu hapa kuna wachawi hawakawii kuleta figisufigusu ili kampuny zao ndo zibaki sokon kimbuka walivyobani mobile payment ikaja kqmpuny mbadala kwa opt zilezile nayo wakaihujumu
Wapumbavu kweli kwelidaah 500k kwa Mara nyingine imeondoka na spurs..mamamamamaeeeeeeeeeeeeeee
😂😂😂weka mkeka tuone hiyo 500k.daah 500k kwa Mara nyingine imeondoka na spurs..mamamamamaeeeeeeeeeeeeeee